Bantugbro
JF-Expert Member
- Feb 22, 2009
- 4,473
- 4,253
Mkuu wangu Bantugbro mkuu wa "skyscrapercity tz" uko timu gani?
Mkuu,
Mimi ni wa Blue kuliko Maurinyo....:ranger:
Mkuu wangu Bantugbro mkuu wa "skyscrapercity tz" uko timu gani?
Thinking like a man and acting like a woman.
Ile nayo ni ligi? Walete Bayern kwenye Premiership kama hawajapigwa bao na Fulham.
mtaishia kuongea lazima kombe lije Blue color
waambie nitonye hawa wameshachoka
waende kupumzika kwani ngoma hawaiwezi kabisa
Tutakua na game ya Newcastle wikend hii na pia ktk ya wiki ijayo tutakua ugenini dhidi ya WBA, kabla ya kwenda kwa Man City tena kwa game ya FA.
Ni wakati mzuri kwa Akina Ba kucheza! Jana Ba alicheza sekunde 30 na akaokoa kona iliyokua inaelekea langoni kwa Chelsea!
Michael Laudrup, kibarua kimeota nyasi
Tutakua na game ya Newcastle wikend hii na pia ktk ya wiki ijayo tutakua ugenini dhidi ya WBA, kabla ya kwenda kwa Man City tena kwa game ya FA.
Ni wakati mzuri kwa Akina Ba kucheza! Jana Ba alicheza sekunde 30 na akaokoa kona iliyokua inaelekea langoni kwa Chelsea!
Ile ilinitoa ushuzi mkuu
***** sikomi na hiyo mechi mnayokutana na man city naongeza kuweka dau kwa mhindi mnakufa,yaani nitawabetia mnakufa mpk hela yangu irudi.
Hao Munich hawataki ata kuisikia chelsea! Kwasababu wanaijua shughuli yake na kwamba iliwanyang'anya tonge mdomoni!ile nayo ligi?? kawaulize kilichowakuta barcelona,kapigwa kwenye njia kuu na kwenye mchepuko.
Ubingwa mmeshaanza nyie kututangaza kwasababu tumeifunga timu ambayo ni kiboko yenu! Lazima mtutangaze tu! Na kweli mtakoma tukichukua ubingwa!hehehe,dah sipati picha washenzi nyie mkichukua kombe mweh,sijui kama patakalika humu ndani,yaani mara kumi achukue arsenal kuliko nyie ndo mmeanza maneno hivi,na huyo kocha wenu asiyejua kuongea kwenya interview sijui ataropoka mashudu gani siku hiyo.
mbona lakini bado swansea walkuwa wanacheza mpira mzuri tu! Dah namsikitkia kweli.
Me nimesikitika zaidi, Swansea ndiyo pass masters wa EPL, wako nafasi ya 12, wako Europa, FA round ya 5 na bado alikua ana majeruhi kibao wengine ndio wemerudi juzijuzi and on top of that yeye ndiye kocha pekee aliyeshinda kikombe ndani ya miaka kibao.
Sababu kubwa eti kwa sababu hataki kusaini mkataba wa muda mrefu na matokeo mabovu yaliyokua yamemuandama. Sasa ngoja tuone huyo Gary Monk atafanya nini
Inasikitisha; lakini ndo maisha ya makocha. Ukiajiliwa ujue ipo siku utafukuzwa tu.
Na ndiyo maana ni makocha wachache sana wanaokubalj kuwekeza kwenye academies na wao wanalazimishwa na club policies or else utawekeza vipi wakati hauna uhakika kama kibarua chako kitamaliza hata miaka miwili.
Mkuu km kawaida yangu! Usipeleke hiyo pesa mkuu! Utaliwa! Kaweke kwa Chelsea mkuu!
Inasikitisha; lakini ndo maisha ya makocha. Ukiajiliwa ujue ipo siku utafukuzwa tu.
siweki kwa chelsea bado naweka mzigo uleule 100k
Michael Laudrup, kibarua kimeota nyasi
ile nayo ligi?? kawaulize kilichowakuta barcelona,kapigwa kwenye njia kuu na kwenye mchepuko.