Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

hongereni kwa ushindi kwa kweli kha sina hamu nimemuwekea mzigo man city mhindi kauchukua wote,anyway mbinu nzuri na kapanga kikosi kizuri mourinho kwa kweli anahitaji pongezi kwa hilo amekuja kivingine kabisa leo,tofauti na nilivyoexpect ila yule mtoto hazard nyoko zae hafai hata kidogo.

Mkuu kabla ya kuipeleka hiyo pesa yako kwa muhindi ulitakiwa kujua kua kampuni kubwa ya kubeti iliingia mkataba na Chelsea km mwezi mmoja ivi uliopita! Na walivyofunga mkataba tu wakatoa ofa ya kupanda kwa bei Mara mbili! Na waliamua kuingia mkataba na Chelsea Kwasababu ni timu ambyo haipotezi au haifungwi! Sasa wewe makampuni Makubwa tena wataalam Wa biashara wanawekeza kwa Chelsea Alafu wewe unakwenda kuweka kwa City? Pole sn!
 
Mkuu Jana na juzi nilikushauri pitia vyanzo vya habari mbalimbali vya kimataifa vya michezo uone ni jinsi gani wachambuzi Wa soccer wanatoa maoni juu ya game ya Jana! Kwa kweli walikua wanasema ukweli na wengine walisema game ya Jana ingekua sulihu! Na pia Km ungepitia wavuti Wa habari Wa Chelsea kwanza ukaona kila kauli ya inayoyolewa na wachezaji na Kocha juu ya game ya Jana ungeweza kuona ni kitu gani kinakwenda kutokea! Na pia ungepitia wavuti ya city ukaona na wao walikua na maoni gani?

Mimi nilikua nakupa msimamo na maelezo ya uhakika Kwasababu nilikua Najua wazi Tunakwenda kufanya nini! Ukiangalia wachezaji Kocha na yeye! Yani dalili za Ushindi zilikuwepo! Na pia sisi ktk ukrasa wetu Wa Chelsea tulitoa uchambuzi mapema kabisa Wa hii game nikiwa mimi na agosti 8 na Mentor na baadhi ya Wapenzi wengine Wa chelsea tulijua wazi Lazima tushinde!

Na kwa game ya Jana Nafikiri mtaanza kuitangaza Chelsea bingwa maana imeifunga timu kiboko yenu!

Pole sn Mkuu kwa kuliwa pesa na mhindi!!

Yule ndo anaitwa Blanislav Ivanovic #2, goli lake la kichwa lilitupa kombe la EUROPA vs benfica.
Nadhani wasema hovyo humu jamvini wamepotea; Nemanja Matic mkata umeme "box to box"
Beki wetu AZP ni kiboko ya Njia. naweza kusema wazi "we dont miss Mata"..we a complete.:fencing:
 
Timu nzima ilicheza vizuri; nidhamu yetu katika kukaba hasa tunapocheza na timu kubwa itatusaidia sana mwaka huu; huwezi jua huenda safari ya ubingwa inaanza kunukia:

David Luiz anapaswa kucheza pale kati kama alivyofanya jana na siku ya Man Utd; akicheza namba 4 au 5 anatufungisha.
Umeona kazi ya beki wa Uingereza Cahill & Terry?

Kipa pia alifanya kazi nzuri.
Nimehesabu mashuti yaliyookolewa na mwamba wa goli la Man City, mashuti matatu yaligonga mwamba.
Shuti la Eto'o, shuti la Hazard, na shuti la Nemanja Matic "mzee wa kazi"

tuliwazidi mbinu kabisa; Man City wanaweza kuifunga Barcelona, lakini Chelsea sisi siyo saizi yao; Chelsea ni mziki mnene. Tulikuwa tunacheza "total football" jana; kukaba wote kushambulia wote; ndo maana Ivanovic akafunga akiwa karibu na box wakati jamaa ni beki #2,
Kuhusu Chelsea kutokuwa na mshambuliaji mkali; nadhani jibu limepatikana jana; kwamba sisi mtu yeyote anaweza kufunga.:violin:
 
Asante kwa kutambua mchango wangu mkuu Ntuzu:
cc; Mentor na wengine wa Chelsea.:hail:

Mkuu agosti 8 Leo Mimi sitoongea sn! Kwasababu tumepiga kelele sn Hapo nyuma na kuchambua Kikosi chetu na mbinu zetu Lkn bado Tulikua tunaonekana vibonde tu!

Leo nataka niseme km Manuel Pellegrini kwamba vitendo uwanjani vinaongea!

Nawapenda wote Mkuu!

In Chelsea and Mourinho we trust!
 
Last edited by a moderator:
Timu nzima ilicheza vizuri; nidhamu yetu katika kukaba hasa tunapocheza na timu kubwa itatusaidia sana mwaka huu; huwezi jua huenda safari ya ubingwa inaanza kunukia:

David Luiz anapaswa kucheza pale kati kama alivyofanya jana na siku ya Man Utd; akicheza namba 4 au 5 anatufungisha.
Umeona kazi ya beki wa Uingereza Cahill & Terry?

Kipa pia alifanya kazi nzuri.
Nimehesabu mashuti yaliyookolewa na mwamba wa goli la Man City, mashuti matatu yaligonga mwamba.
Shuti la Eto'o, shuti la Hazard, na shuti la Nemanja Matic "mzee wa kazi"

tuliwazidi mbinu kabisa; Man City wanaweza kuifunga Barcelona, lakini Chelsea sisi siyo saizi yao; Chelsea ni mziki mnene. Tulikuwa tunacheza "total football" jana; kukaba wote kushambulia wote; ndo maana Ivanovic akafunga akiwa karibu na box wakati jamaa ni beki #2,
Kuhusu Chelsea kutokuwa na mshambuliaji mkali; nadhani jibu limepatikana jana; kwamba sisi mtu yeyote anaweza kufunga.:violin:

Mkuu Nafikiri wameona wenyewe na kitu ambacho nilikipenda sn kutoka kwa Jose aliwambia wachezaji wakabe mtu yeyote Yule anaekuja kwako sio kuweka MARKING kwamba muangalieni sijui Toure sn au Silva! Yani waliachwa hao city Huru kabisa ila kila wakifika ktk anga za Chelsea ni kukabwa kwa kwenda mbele! Wakabaki wanazungunguka tu!

Na pia Kocha Wa city kabla ya game aliingiwa hofu ndo maana akampanga Yule beki km kiungo mkabaji badala ya Milner na Hapo kauli ya Jose Mourinho ilipotimia kwamba THEY ALSO HAVE TO STOP US. Inashangaza sn huku kwetu Watu kuibeza Chelsea wakati Pellegrini mwenyewe alikua na hofu?
 
Mpira akili ili kupata ushindi ila wanyonge wa Man City walipanua sana midomo ila tuliwaambia wasubiri muziki nadhani wameona!Kelele zitapungua nadhani

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
watu wanaona wivu sana; ila ndo hivyo; sisi ni sisi wao ni wao; ukikatiza anga za Mourinho halali yetu; ha ha aha.:whip:
Mkuu Nafikiri wameona wenyewe na kitu ambacho nilikipenda sn kutoka kwa Jose aliwambia wachezaji wakabe mtu yeyote Yule anaekuja kwako sio kuweka MARKING kwamba muangalieni sijui Toure sn au Silva! Yani waliachwa hao city Huru kabisa ila kila wakifika ktk anga za Chelsea ni kukabwa kwa kwenda mbele! Wakabaki wanazungunguka tu!

Na pia Kocha Wa city kabla ya game aliingiwa hofu ndo maana akampanga Yule beki km kiungo mkabaji badala ya Milner na Hapo kauli ya Jose Mourinho ilipotimia kwamba THEY ALSO HAVE TO STOP US. Inashangaza sn huku kwetu Watu kuibeza Chelsea wakati Pellegrini mwenyewe alikua na hofu?
 
That's ‪#‎chelseafc‬ the liquidator..... We break the records over records.... ‪#‎inJoseMourinho‬ we trust.
1391449877401_lc_galleryImage_03rd_February_2014_Player.JPG 1391449927640_lc_galleryImage_03rd_February_2014_Player.JPG majanga.jpg mwan.jpg
 
Sasa wakuu wenzangu wa Chelsea:
Mkuu Mentor na Ntuzu;
pia cc kwa zacha, kibaravumba, andybird314, ITEGAMATWI, kionariso na wengineo.

Naomba tujadili mechi yetu ijayo vs Newcastle kwa sababu kazi ya kumtuliza City tumemaliza; pointi 3 kwa Newcastle ni muhimu sana wakuu; kwa sababu tutakuwa na 56 tukishinda; pia msisahau matokeo ya Arsenal vs Liverpool yanaweza kutunufaisha sana; kumbukeni kwamba pointi za ubingwa wetu anazo Arsenal; hata hivyo kabla ya Arsenal hajaja darjani ni vizuri tuwe tumestarehe tayari kwa kuchukua pointi za kutosha.

Rekodi yetu kwa ujumla dhidi ya vijana wa mjini Newcastle; Newcastle United(mwamba wa kaskazini) ni nzuri tu:
Tumewafunga mara 41.
Wametufunga mara 37.

Lakini kwa misimu ya karibuni wamekuwa wasumbufu sana:

2011-2012:
mechi ya kwanza; CFC 3 - Newcastle 0.
mechi ya marudiano; CFC 0 - Newcastle 2.

2012-2013:
mechi ya kwanza; CFC 2 - Newcastle 0.
mechi ya marudiano; CFC 2 - Newcastle 3.

2013-2014.
mechi ya kwanza(ugenini): CFC 0 - Newcastle 2.

Tunahitaji kucheza vizuri na kuchukua pointi zote 3 nyumbani kwetu "darajani"
Naomba kuwasilisha tuanze mjadala; naomba tuzingatie utaalamu ili tuelimishane jamani.
 
Mkuu kabla ya kuipeleka hiyo pesa yako kwa muhindi ulitakiwa kujua kua kampuni kubwa ya kubeti iliingia mkataba na Chelsea km mwezi mmoja ivi uliopita! Na walivyofunga mkataba tu wakatoa ofa ya kupanda kwa bei Mara mbili! Na waliamua kuingia mkataba na Chelsea Kwasababu ni timu ambyo haipotezi au haifungwi! Sasa wewe makampuni Makubwa tena wataalam Wa biashara wanawekeza kwa Chelsea Alafu wewe unakwenda kuweka kwa City? Pole sn!

haya najua lazima muongee coz mmeshinda muda wenu huu.
 
Sasa wakuu wenzangu wa Chelsea:
Mkuu Mentor na Ntuzu;
pia cc kwa zacha, kibaravumba, andybird314, ITEGAMATWI, kionariso na wengineo.

Naomba tujadili mechi yetu ijayo vs Newcastle kwa sababu kazi ya kumtuliza City tumemaliza; pointi 3 kwa Newcastle ni muhimu sana wakuu; kwa sababu tutakuwa na 56 tukishinda; pia msisahau matokeo ya Arsenal vs Liverpool yanaweza kutunufaisha sana; kumbukeni kwamba pointi za ubingwa wetu anazo Arsenal; hata hivyo kabla ya Arsenal hajaja darjani ni vizuri tuwe tumestarehe tayari kwa kuchukua pointi za kutosha.

Rekodi yetu kwa ujumla dhidi ya vijana wa mjini Newcastle; Newcastle United(mwamba wa kaskazini) ni nzuri tu:
Tumewafunga mara 41.
Wametufunga mara 37.

Lakini kwa misimu ya karibuni wamekuwa wasumbufu sana:

2011-2012:
mechi ya kwanza; CFC 3 - Newcastle 0.
mechi ya marudiano; CFC 0 - Newcastle 2.

2012-2013:
mechi ya kwanza; CFC 2 - Newcastle 0.
mechi ya marudiano; CFC 2 - Newcastle 3.

2013-2014.
mechi ya kwanza(ugenini): CFC 0 - Newcastle 2.

Tunahitaji kucheza vizuri na kuchukua pointi zote 3 nyumbani kwetu "darajani"
Naomba kuwasilisha tuanze mjadala; naomba tuzingatie utaalamu ili tuelimishane jamani.

Mkuu agosti 8 Mimi Leo nasherehekea ubingwa! Michango yng itakua sio mingi sn ktk hii game ijayo! Ila tuko wote na kwanza kabisa tunatakiwa tuangalie ratiba baada ya New castle tunacheza tena na City then tutakua Away kwenye UEFA na Galatasaray. Hapa Lazima tuanze kwa kuangalia wachezaji wetu wote Na nani acheze Na nani asicheze kutokana na ratiba ilivyo!

Yani ratiba kwa sasaivi karibu kwa timu zote kubwa za EPL zinapanda mlima!Yani Hakuna mteremko! Tunapaswa kua makini ktk uchambuzi wetu!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Jana na juzi nilikushauri pitia vyanzo vya habari mbalimbali vya kimataifa vya michezo uone ni jinsi gani wachambuzi Wa soccer wanatoa maoni juu ya game ya Jana! Kwa kweli walikua wanasema ukweli na wengine walisema game ya Jana ingekua sulihu! Na pia Km ungepitia wavuti Wa habari Wa Chelsea kwanza ukaona kila kauli ya inayoyolewa na wachezaji na Kocha juu ya game ya Jana ungeweza kuona ni kitu gani kinakwenda kutokea! Na pia ungepitia wavuti ya city ukaona na wao walikua na maoni gani?

Mimi nilikua nakupa msimamo na maelezo ya uhakika Kwasababu nilikua Najua wazi Tunakwenda kufanya nini! Ukiangalia wachezaji Kocha na yeye! Yani dalili za Ushindi zilikuwepo! Na pia sisi ktk ukrasa wetu Wa Chelsea tulitoa uchambuzi mapema kabisa Wa hii game nikiwa mimi na agosti 8 na Mentor na baadhi ya Wapenzi wengine Wa chelsea tulijua wazi Lazima tushinde!

Na kwa game ya Jana Nafikiri mtaanza kuitangaza Chelsea bingwa maana imeifunga timu kiboko yenu!

Pole sn Mkuu kwa kuliwa pesa na mhindi!!

sasa mkuu wewe mshabiki wa chelsea inawezekanaje usiipe nafasi ya kushinda timu yako hata mimi man u niliipa nafasi ilivyokuwainacheza na chelsea na kulala jana sikutegemea kama kuna mshabiki wa chelsea ambae hakuwa ameipa nafasi timu yake hata ikicheza na bayern
 
Last edited by a moderator:
Mourinho anajua la kufanya; itafaa kama gemu ijayo Andre Schurrle na Mo Salah wakicheza na Oscar ili Willian na Hazard wakae benchi kidogo ili kuwa fiti kwa ajili ya kuikabili City kwenye FA.
Mkuu agosti 8 Mimi Leo nasherehekea ubingwa! Michango yng itakua sio mingi sn ktk hii game ijayo! Ila tuko wote na kwanza kabisa tunatakiwa tuangalie ratiba baada ya New castle tunacheza tena na City then tutakua Away kwenye UEFA na Galatasaray. Hapa Lazima tuanze kwa kuangalia wachezaji wetu wote Na nani acheze Na nani asicheze kutokana na ratiba ilivyo!

Yani ratiba kwa sasaivi karibu kwa timu zote kubwa za EPL zinapanda mlima!Yani Hakuna mteremko! Tunapaswa kua makini ktk uchambuzi wetu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom