Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,416
Kwani ligi huwa zina njia kuu na mchepuko?
Mie naongelea ligi siyo mashindano ya mtoano.
You can easily beat a team twice, but it is hard to beat 20 teams twice.
haya tunbgoje mwezi wa tano tuone nani anabeba kombe,ila for the time being bora niwasuport noisy neighbour wetu man city kuliko nyie mna fujo na makelele sana mkiongozwa na kocha wenu,mwanzo nilikuwa naona bora arsenal walibebe lakini na wenyewe nimewaona wana makelele sana.