Haya tena muda wa kuweka treni
Has David Luiz let David Silva out of his back pocket yet?
Mkuu Mentor tumesema sn na tumeichambua sn hii game tangu wiki 3 nyuma huko Mimi na wewe Na agosti 8 . Lkn watu walikua wanatubeza Na kutuzarau sn!
Sins mengi ya kuongea sn! Nikushukuru wewe na agosti 8 na Wapenzi wote Wa Chelsea na Zaidi nimshukuru Jose Mourinho kwa kazi nzuri sn anayoifanya pamoja na wachezaji Wa Chelsea wote kwa ujumla!
In god we trust, in Jose we trust and in Chelsea we trust!
Kwakweli THE BLUES tunatisha kama ukimwi! Leteni mwingine anayewasumbua tumnye supu.
hongereni kwa ushindi kwa kweli kha sina hamu nimemuwekea mzigo man city mhindi kauchukua wote,anyway mbinu nzuri na kapanga kikosi kizuri mourinho kwa kweli anahitaji pongezi kwa hilo amekuja kivingine kabisa leo,tofauti na nilivyoexpect ila yule mtoto hazard nyoko zae hafai hata kidogo.
bayern munich unbeaten huko kwao na uefa mpk leo hii.