Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sasa ndio naona kabisa hii game inamuhitaji Enzo. Tunapungukiwa ubunifu sana hasa kule mbele
Tataizo kubwa sio Enzo
Umaliziaji ndio tatizo
Palmer ameziba ile nafasi ya Enzo, katoa mipira mizuri lakini wafungaji wetu wanazidiwa hata na timu za mitaani huku kwetu ushenzini. Na hasa Jackson anaziba nafasi bure, ile nafasi yake angecheza Sterling au Palmer kama false no. 9 halafu Mudryk aingie badala ya Jackson
 
JACKSON ndio problem kule mbele, anatukaba badala ya kushambaulia na kufunga magoli.

Toa Jackson na Madueke ingiza Mudyk na James

Mudyk - Sterling - Palmer

Gallagher - Caicedo - James
Kuna moja tumeshafanya counter attack nzuri yeye kakaa mbele peke yake kutengeneza offside badala ya atengeze nafas ya kupokea mpira.
 
Tataizo kubwa sio Enzo
Umaliziaji ndio tatizo
Palmer ameziba ile nafasi ya Enzo, katoa mipira mizuri lakini wafungaji wetu wanazidiwa hata na timu za mitaani huku kwetu ushenzini. Na hasa Jackson anaziba nafasi bure, ile nafasi yake angecheza Sterling au Palmer kama false no. 9 halafu Mudryk aingie badala ya Jackson
Sasa Mudryk hata bench hayupo
 
Chelsea wasipoleta well proven striker itakua hivi kila mda..

First half tutatengeneza nafasi nyingi ambazo hatutazitumia, na second half opposition watapa nafasi chache na watatumia, na always itakua ni sare au kufungwa..

Tobby aache uhuni wa kusajili potential players tuu, anahitaji pia wale players ambao tayari ni proven
 
Brentford hawako agressive wala sioni kama wanacheza vizuri ila tumewshindwa kuwafunga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom