Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Silaha za kazi leo saa moja na nusu saa za afrika mashariki hizi hapa

------------------Jackson-------------------

Sterling -----------Galagher -----------Palmer

-------Caicedo ------------------Enzo--------

Colwill ----------Silva---------Disasi -----------

-------------------Sanchez -------------------
Umesahau kuweka mchezaji mmoja kwenye line up yako
 
Nataka kijana wangu mudi aanze hii game leo
20230914_220229.jpg
 
Tuseme ukweli leo tunacheza kama underdogs. Yani Arse8 kwa sasa wana kikosi bora sana.
Japo nayiamini klabu yangu ila kwa arse8 hii Poche inabidi atafute mbinu za kimafia sana kumaliza game mapema
Nakumbuka gem ya Baku ilikuwa hiv hiv arsenal alikuwa anaonekana bora sana
 
Nimtoe Partey kwenye Dm nimuweke Caicedo si ntakua na kichaa cha mwaka

Chilwell hana tofauti na Tieney na wewe ni shuhuda Tieney unajua alipo sasa

Enzo acheze upande upi LCM kwa Rice au RCM kwa Ode atamtoa nani kati ya hao viungo wawili

Sterling ???? Hata kwa Troussard tu hajafikia day after day anazid kushuka kiwango sio yule wa 3 yrs,

Sioni wa kuingia kwenye kosi la Arsenal hata mmja may be kua benchi tu
Mkuu upo sahihi kabisa ila uwanjani hawachezi mmoja mmoja ni timu nzima. Tukutane jioni ya leo
 
Line up confirmed

-------------------- Mudryk -------------------

Sterling ------------Gallagher ------------Palmer

---------- Caicedo ------------- Enzo -----------

Cucurella ------Colwill -------Silva--------Gusto

-------------------- Sanchez ------------------

Sub
  1. Petrovic
  2. Disasi
  3. Badiashile
  4. James
  5. Maatsen
  6. Lesley
  7. Madueke
  8. Jackson
  9. Deivid Washington
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom