Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Reece James man has played 7 games against Arsenal lost 6 and won 1, there is nothing here blud

Tunamtaka jumamos kwa mchakamchaka wa Martinelli,huyu hamalizi dk 45, tupo hapa ,lazima arudishwe wodini

Hamstring lazima imkamate tu
Reece James kashakutana na toughest opponents kama vinicius Junior na aliwaminya na hawakufurukuta ,,itakuwa huyo Mkata kuni Martinelli ?
 
Yaani tangu mwaka ule alipompita Kante baada ya Kante kuteleza huku wakati ile touch ya Martinelli ilikuwa hovyo, bahati yake tu Kante aliteleza jambo ambalo ni kawaida wao wakaichukulia Martinelliu ni bonge la mchezaji wakati hakuna kitu kama hicho
James mzima wa afya atamficha Martineli kwenye bukta yake
 
Chukwuemeka na Chalobah wamepata majeruhi mapya haijulikani watarudi lini
Pochettino ataelezea zaidi

James kaanza mazoezi na timu baada ya kujitenga kwa muda siku 10 zilizopita kwa ajili ya majeruhi

Cole Palmer naye kaanza mazoezi

Enzo na Caicedo wamerudi leo na haijulikani kama wataanza kwenye game na Arsenal
 
Against all odds
20231018_235639.jpg
 
James, Disasi, cole Palmer na wengine walihusika na mazoezi ya jana
Enzo na Caicedo wamesharudi kutoka international duties na leo nathani watahusika kwenye mazoezi na timu
Wanaweza wakaanza hiyo jumamosi au wakatokea benchi
 
Oyaaa wanangu The Blues jumamosi tupigieni hizo Arsenyau maana makelele yamekua mengi sana
Baada ya kumfunga United na City watu hatupumui, hii misukule inaleta fujo kwenye kila majukwaa, Wakibahatisha kuwafunga na nyinyi kwa jeuri yao wanaweza kulazimisha wote tuliofungwa tuhamie ukanda wa Gaza Kima hawa.
 
Yaani tangu mwaka ule alipompita Kante baada ya Kante kuteleza huku wakati ile touch ya Martinelli ilikuwa hovyo, bahati yake tu Kante aliteleza jambo ambalo ni kawaida wao wakaichukulia Martinelliu ni bonge la mchezaji wakati hakuna kitu kama hicho
James mzima wa afya atamficha Martineli kwenye bukta yake
Yaani huwa naangaliaga wakiweka picha ile ya Kante aliyoteleza, huwa nacheka sana nasema hawa kweli kondoo, kama hukuangalia ile game then ikaona hiyo picha utafikiri martinel alifanya vitu hadimu, kumbe mchezaji mwenyewe mashuzi tu.
 
Reece James kashakutana na toughest opponents kama vinicius Junior na aliwaminya na hawakufurukuta ,,itakuwa huyo Mkata kuni Martinelli ?
Sisi tunachojua amekutana na Martinelli na huwa anamburuza vzr tu,

Nakuhakikishia haitafika dk ya 60 ,James ataomba sub
 
Yaani tangu mwaka ule alipompita Kante baada ya Kante kuteleza huku wakati ile touch ya Martinelli ilikuwa hovyo, bahati yake tu Kante aliteleza jambo ambalo ni kawaida wao wakaichukulia Martinelliu ni bonge la mchezaji wakati hakuna kitu kama hicho
James mzima wa afya atamficha Martineli kwenye bukta yake
James hajawahi na hatawahi kumficha Martinelli

Na hiyo Martinelli kumlambisha Kante nyasi alikuwa ndio ana miaka 18-19 sio mwaka Jana

James amekutana na Arsenal Mara 7 ,kashinda Mara 1 tu, 6 ka lost

Na magoli mengi tunapitiaga kwake

Mimi nasikiaga tu James anajua kukaba lakin sijawahi ona mechi vs Arsenal akikaba huwa anatepeta

Kuna beki anakaba Kama Wanbisaka? Uliangalia mech vs Arsenal ,Martinelli vs Bisaka ?
 
Oyaaa wanangu The Blues jumamosi tupigieni hizo Arsenyau maana makelele yamekua mengi sana
Baada ya kumfunga United na City watu hatupumui, hii misukule inaleta fujo kwenye kila majukwaa, Wakibahatisha kuwafunga na nyinyi kwa jeuri yao wanaweza kulazimisha wote tuliofungwa tuhamie ukanda wa Gaza Kima hawa.
Yaani unakuja kuomba msaada kwa Hawa vilema

Hata sare hawawezi kupata
 
Mkipata sare tunajua mtafanya sherehe

Sisi Arsenal tumejipanga kumaliza mechi half time
 
Best Midfield trio in the world

Ukibisha , Jumamos ndio mtaelewa

Kuna wakati itafika hamtagusa mpira kabisa
20231019_161313.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom