Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ona huyu anavyoiona Arsenal, kuwa ni timu ndogo ambayo Mudryk alitakiwa kwenda huko kabla ya kuja Chelsea (An important Club)

Former Ukraine star Andrey Vorobey on Mudryk: "Maybe it was too early to go to a club as important as Chelsea. Maybe Arsenal would have been the ideal option. But what happened happened. Now he has to go through this. Mudryk will only be able to overcome the pressure by training, hard work and winning."

1697500467205.png
 
Humu mmebaki kujadili marasta na majeruhi...

Naskia mwamba caicedo ameanza kusokota dread
 
Ukweli usemwe ,hakuna mchezaji wa Chelsea anaingia kikos Cha Arsenal hao uliotaja wanaanza mbele ya Nani ?

Enzo anamtoa Nan aingie

Sterling anayehitaji nafasi 10 afunge

Nimepata taarifa, Reece James amepona majeraha na kunauwezekano akacheza vs Arsenal.

Upande wa kushoto wa Arsenal ni Martinelli vs Reece James ndugu zetu Chelsea kabla ya mechi mle chakula kabisa kunakila dalili ya kukosa appetite yanii.. View attachment 2783914
Wewe ulitakiwa nuwe kocha tena kwenye ligi kubwa unajua sana kandanda. ila kwa Chelsea umebugi
 
Chelsea mnaweza msipate hata goli 1 achilia on target
Hii Arsenal mnayoidecorate sana inaonekana kali sana na ligi ingeishia tu hapa ilipofikia kwa sababu hakuna timu ya kupambana na ninyi. Mlikuwa wapi miaka 20 iliyopita?
 
Kuna uwezekano wa kumtegemea Silva, Chalobah na Colwill tu kwenye CB
Kuna uwezekano tusiwe na huduma ya Caicedo na Enzo katikati ya uwanja
Kuna uwezekano James asianze hiyo mechi ila Gusto atakuwepo
 
Ushabiki ni mwingi sana kinachofanya useme hakuna mchezaji wetu yoyote anayeingia kwenye kikosi yenu ni kwasababu mnabebwa na team performance wakati sisi team inajitafuta Ile ukiangalia kwa mchezaji mmoja hamna mchezaji mwenye quality kama Caicedo, hamna mchezaji mwenye uwezo zaidi ya Reece James, hakuna mwenye quality kama ya Enzo Fernandez, hakuna left back zaidi ya Ben chilwell, hakuna player mwenye uwezo zaidi ya nkuku, hamna winger ambaye ameprove ubora zaidi ya sterling
Nimtoe Partey kwenye Dm nimuweke Caicedo si ntakua na kichaa cha mwaka

Chilwell hana tofauti na Tieney na wewe ni shuhuda Tieney unajua alipo sasa

Enzo acheze upande upi LCM kwa Rice au RCM kwa Ode atamtoa nani kati ya hao viungo wawili

Sterling ???? Hata kwa Troussard tu hajafikia day after day anazid kushuka kiwango sio yule wa 3 yrs,

Sioni wa kuingia kwenye kosi la Arsenal hata mmja may be kua benchi tu
 
Utakiona cha mtema kuni hiyo jumamosi , Na ndio utajua ukubwa wa Chelsea ewe MJUSI KAFIRI
Tutawafua kama ngoma , mtapigwa mtachakaa .
 
Tunawajua ninyi miaka yote waalimu wa theory, subiri 21 Oct, siku tatu tu bado
 
Arsenal/Chelsea composite 11, no Chelsea players could feature save that 2 or 3 will sit on the bench
Tatizo tukisema hivi wanaona Kama jokes

Niliwahi bishana Sana na mashabiki wa manjesta nikawaambia hakuna mchezaji wao anayeingia first eleven,,ilipofika mech yetu

Kiungo Cha Kai Rice Øde , manjesta walikuwa wanashindwa kupiga hata pass 10 kwenye Midfield, waliweka rekod toka Msimu wa 2006/2007 kwa timu kupiga pass chache kwenye eneo la Midfield na final third ya Arsenal ,

Wakaja kukubali Ni kweli

Sasa hawa Chelsea ,waache Jumamos tutaingia tukiwa full kufikia half time wakiwa wamelambwa 3-0 watakuja kukubali humu
 
Nimtoe Partey kwenye Dm nimuweke Caicedo si ntakua na kichaa cha mwaka

Chilwell hana tofauti na Tieney na wewe ni shuhuda Tieney unajua alipo sasa

Enzo acheze upande upi LCM kwa Rice au RCM kwa Ode atamtoa nani kati ya hao viungo wawili

Sterling ???? Hata kwa Troussard tu hajafikia day after day anazid kushuka kiwango sio yule wa 3 yrs,

Sioni wa kuingia kwenye kosi la Arsenal hata mmja may be kua benchi tu
Sasa huuu niushabiki maaana kila mmoja anaona mchezaji wake ni mzuri
 
Erik Njiru mchambuzi mwenzangu na mwanahabari mwenye beji ya FIFA anasema haoni mchezaji wa Chelsea wa kuingia kikosi Cha Arsenal

Lembu mmasai wa loliondo anakwambia Levi Colwill,na kina Cucurela wanaingia kikosi Cha Arsenal ,

View attachment 2783946View attachment 2783947
mwisho wa siku kumbuka kuwa uchambuzi ni mawazo ya mtu ambayo pia yanaweza endeshwa na hisia za mtu binafsi
 
Utakiona cha mtema kuni hiyo jumamosi , Na ndio utajua ukubwa wa Chelsea ewe MJUSI KAFIRI
Tutawafua kama ngoma , mtapigwa mtachakaa .
Sawa Don Vill, ila kama hua mnaangalia game za timu zote hakuna haja ya kujipa matumaini kua game ya jumamosi mtajitaid japo kuzuia tusipate goli tatu, yan mkijitaid mnazuia tunaishia goli mbili
 
Siku naona hazitembei kabisa

Uyo anaekula nyasi hapo chini toa Ngolo weka Caicedo mpiga nyeto, uyo anaetoa ulimi hapo nyuma toa Kova weka Enzo

Martinelli anabaki kua constant G
20231015_193041.jpg
 
James kaumia tena mazoezini siku 10 zilizopita
Kwa sasa anafanya mazoezi peke yake
Huyu auzwe
Matajiri waanzishe fagia fagia ya Injury Prone tubaki na wacheji kama Conor Galagher yaani huyu anatumia nguvu na juhudi kwenye mazoezi na uwanjani ila husikii hata siku moja anaumwa
1697622344253.png
 
View attachment 2785251
Nan atanunua sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom