Ghalagah sio mchezaji mbaya, anacheza kw juhud sana, tena sana sema akili ya mpira tu ndio hamna. uwepo wake tu hiyo mechi ni droo, inamaana kw mech y Arse88 wiki ijayo kama atakwepo tayar ni droo au kufungwa.Ninamchukia na simpendi sana Conor ghalager lakini to be honest with football ghalager ameimarika sana tena kuliko nilivyotegemea.
Mpira tunaangalia wote wakuu Kuna mashabiki wa team pinzani wanaulizaga kwanini simpendi ghalager mbona anacheza vizuri tu nakosaga majibu.
Issue inayokuja kwa tulio wengi ni kua tunatarajia makosa mengi to kwa ghalager kuliko mazuri, so hata akifanya mazuri 9 na akokosea mara mbili tu mazuri yte yanamezwa na mabaya yake.
Kuna green light kwa mwanetu jaman ataimarika sana huyu mwamba.
Mechi ya Ars88 kama ghalagah ataanza nitaweka X2 kw mhindi niweke nyumba.
