hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,433
- 26,997
Hao unawazungumzia kina Shaffih dauda, Ally mayai tembele, Wilson oruma , Maulid kitenge, na wanaofanana na hao, hawa wajasomea popote uchambuzi Ni makanjanja tu ,mwisho wa siku kumbuka kuwa uchambuzi ni mawazo ya mtu ambayo pia yanaweza endeshwa na hisia za mtu binafsi
Erik Njiru ,hamis77, tumesomea uchambuzi na tuna leseni ya FIFA wenye mpira wao



