Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

😰😮
 
Attachments

  • 3210472286183360355.jpg.png
    3210472286183360355.jpg.png
    702.4 KB · Views: 10
  • 3210472286175010726.jpg.png
    3210472286175010726.jpg.png
    667.3 KB · Views: 11
  • 3210472286166548907.jpg.png
    3210472286166548907.jpg.png
    799.1 KB · Views: 10
  • 3210391600089168935.jpg.png
    3210391600089168935.jpg.png
    728.6 KB · Views: 8
Uwezo wa kumfunga Arsenal haupo labda bahati iingilie kati. Arsenal wako ahead (uwanjani) kwa project yao kwa kila kitu vs Chelsea. Timu bado inafungwa cheap goals na bado ukuta wa disasi na silva ni mwepesi sana kwa timu zenye pace. Kushinda mechi kadhaa dhidi ya mid team kisitupofushe macho na kudhani tunaweza kumatch na timu zinazofukuzia ubingwa
Unachosahau kwenye mpira hakuna hakuna bahati. Arsenal kufungwa inawezekana not matter situation tulitonayo. Kinacho matter siku hiyo ni kwa namna gani wachezaji wataendeleza mentality ya sasa hivi
 
Ndio mana nyie kondoo huwa mnaonekanaga hazijatimia! kwa Akili yako timamu kbs unamfananisha Kai na Enzo??
Nyie kenge kweli

Sasa lete hapa profile ya Enzonzi tuichambue

Ni DM?/AM? Maana mnambeza Kai hatoi Assist na kufunga magoli bila kujudge role yake kwenye timu
 
The Blues bado tunaendelea kujitafuta uwanjani haswa kwenye changamoto ya kuwakosa wachezaji muhimu ambao ni majeruhi.

Ila sio kigezo cha kuonekana wanyonge mbele ya Aser8.

Hiyo game ni 50/50.

Tutampasua Aser8 placenta.
Kuna jamaa nilimwambia hiyo game sio rahisi, wachezaji wote wana miguu miwili. Kama labda chelsea wachezaji wake wana mguu mmoja mmoja hapo sawa.
 
Chelsea have won 60.5% of the Aerial duels contested so far. The best in the Premier League this season.
Tuko vizuri msimu huu asikudanganye mtu
Tumefungwa goli 7 tu, ni Arsenal na City ndio wametuzidi kagoli kamoja tu. Hatuna shida kule nyuma
Katikati pivot ya Enzo, Caicedo na Galagher imetick vizuri
Changamoto ya magoli imeshaanza kuondoka baada ya Sterling kuamua kucheza. Wachezaji muhimu waliokuwa majeruhi wamerudi nao. Bado tu Nkunku
1696965198384.png
 
View attachment 2778173
Nasoma mwisho nacheka!😂
 
The Blues bado tunaendelea kujitafuta uwanjani haswa kwenye changamoto ya kuwakosa wachezaji muhimu ambao ni majeruhi.

Ila sio kigezo cha kuonekana wanyonge mbele ya Aser8.

Hiyo game ni 50/50.

Tutampasua Aser8 placenta.
Ndio mnavyodanganyana au sio?

Nyie kwasasa labda mcheze na Luton , Burney kila siku

Tunakuja kuwanyoa dredi
 
No player has won possession in the final third more times than Conor Gallagher in the Premier League this season (13).
1697046637134.png
 
Hii rekodi haitakaa ivunjwe sio sasa wala kesho labda kizazi cha nne au cha tano
1697048011429.png
 
Kuna stat. nyingine ni za kiboya, huyu gallagah ni mzigo sana tukiwa na mpira.
Wewe una shida tena sana, ukishapenda chongo, huita kengeza
Na ukichukia kengeza, unaita chongo
Gallagher amekukosea nini, amekuwa na juhudi iliyosaidia timu wakati huu wa mpito, amekuwa ndie anaongoza kwa kupress na kuhakikisha tunabaki na mpira muda mwingi. Hachoki wala hapati majeraha kijingajinga kama akina James, Chilly na Nkunku. Kocha na technical staff wanaojua mpira kuliko wewe wanamwagia sifa mbalimbali, hadi sasa Pochettino anamuita untouchable, hauzwi tena, hatakosa mechi hata akina Lavia wakija. Gallagher yuko pale Chelsea kwa miaka mingi inayokuja. Pochettino atampika aive, yake madhaifu ya kutotoa pasi nzuri itaisha muda mfupi ujao na atakuwa a complete box to box midfielder.
Mimi namsubiri tu hadi December nimpigie magoti na kumuomba msamaha kwa kumsema vibaya mwanzoni mwa ligi
 
Uwepo wa Ghallager kwnye mechi hesabia droo au kufungwa, kushinda labda kwa kina luton na barnley. Mchezaji gani anashindwa kupga hat pass moja kw usahihi, ajifunze basi kwa kina Caceido na Enzo. awaulize wanafanyaje.

Ana press vizur, anapora mipira. Akishapora mpira hajui aufanyie nini!. Kukimbia kimbia uwanjani kama mwehu haitoshi.
 
umeongea point, Ghalagah kwnye kukaba yupo vizuri sana. Shida kupiga pasi mamaa yangu🤦‍♂️.

Eti ndio mchezaji muhimu kha!! Tukimtegemea Ghallageh, tutashuka daraja wallah, tupo hapa.
Ninamchukia na simpendi sana Conor ghalager lakini to be honest with football ghalager ameimarika sana tena kuliko nilivyotegemea.
Mpira tunaangalia wote wakuu Kuna mashabiki wa team pinzani wanaulizaga kwanini simpendi ghalager mbona anacheza vizuri tu nakosaga majibu.
Issue inayokuja kwa tulio wengi ni kua tunatarajia makosa mengi to kwa ghalager kuliko mazuri, so hata akifanya mazuri 9 na akokosea mara mbili tu mazuri yte yanamezwa na mabaya yake.
Kuna green light kwa mwanetu jaman ataimarika sana huyu mwamba.
 
Kwenye timu kuna kitu kinaitwa BALANCE, hata timu iwe na wachezaji mastar wote kama hakuna balance ya uchezaji katika utekelezaji wa mbinu na mifumo ya kocha hiyo timu itakuwa ya ovyo uwanjani.

Unaweza kumuona Gallagher mbovu kwenye kupiga pasi lakini ubora wake kwenye kukaba, ukatoa nafasi kwa wachezaji wengine kama wakina Enzo, Caicedo kumiliki mpira na kupiga pass nzuri.

Mpira vurugu wa Gallagher unasaidia kuvuruga mipango ya uchezaji wa timu pinzani.

Disasi hana akili ya mpira lakini nguvu alizonazo zinaleta balance kwenye safu ya ulinzi.

Kwa sasa sioni tatizo la Gallagher kuanza 1st eleven as long as kocha na wachezaji wanamuona ana mchango sahihi kwenye kubalance kikosi na timu inapata matokeo positive.
Chelsea kuna matokeo Positive gani? kumfunga Barnley? ndio matokeo positive? hakuna balance yoyote kwa mchezaji ambaye mkiwa na mpira yeye ni mzigo.

Watu wapo kwnye kushambulia badala y kupga mpira mpenyezo, anaishia kupga pasi kw mabeki. Ilikua hivyo hivyo kwa jog. mwisho wa siku kila mtu alikubali johgihno anawachosha wenzie, hata Arse88 wanakiona kile tulichokua tunakiongea, Ipo siku tutaongea lugha moja kw huyu Ghallagah.

Labda ayafanyie juhudi madhaifu yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom