Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Luiz and Kamara cost Villa a combined £15m and they were far superior to Fernandes and Caicedo (£220m).
Tutadroo na tuna timu zetu za kuwapiga, all calculated alreadySasa ukipigwa game zote hizo mpaka uje kukutana na liver si utakuwa una point za kushuka daraja
Wamewakataa wachezaji wenye experience na mabaki yote ya Roman na ndio maana tuko kwenye hali hiiWamiliki kwanini waondoke wakati wanamwaga hela za kutosha? Mchezaji munayetaka ndiye munayempata, mukigombania Mchezaji na Timu yoyote lazima mumpate nyinyi kwa kuongeza dau kama mulivyofanya kwa Wachezaji waliotakiwa na Liverpool, sasa kwanini Tajiri anayemwaga mihela unataka aondoke?
Mkuu ufafanuzi kidogo.Poche aachane na mfumo wa 4231/433, hii mifumo always ni changamoto kwetu.
Aruke na mfumo 343 (Ulinzi shirikishi) at least hatafungwa, huu mfumo ukibahatisha kufunga goli 1 ni mwendo wa kupark bus mwanzo mwisho.
------ Mudyk --- Jackson --- Paparazi ---
Chilwell --- Enzo --- Caicedo --- James/Malo
--------Colwil ----- Silva ------ Disasi -------
Yesu wanguUongozi wa club bado unajivuta vuta kuandikia FA barua ya kujiondoa kwenye mashindano ya Epl 2023/2024.
Next fixtures tutaimba yelooooi yelooooi namba saba kitani.View attachment 2762532





Si uliunga mkono Tuchel kuondokaWamewakataa wachezaji wenye experience na mabaki yote ya Roman na ndio maana tuko kwenye hali hii

Yaani kote mmeshindwaTutakuja fufukia kwenye mechi ya marudiano we subiri tukuonyeshe kandanda pale pale chumbani kwenu

Tuchel sikuwa namchukia hata kidogo ila pia sikuwahi kumkubali 100% kwa sababu yeye alitegemea sana mbinu mbinu tu na nyota ya siku. Hakuwa kocha wa kuweka mfumo na kushinda kwa huo mfumoSi uliunga mkono Tuchel kuondoka![]()
Unaogopa kwa sababu tuna timu kali, bado tu huyo Jackson hajakaa vizuri na huyo Sterling akiwekwa benchi tutazifanya timu zingine kama tulivyowafanya mechi ya ufunguziKwani mnayo hata timu basi?.
Hicho kikundi Cha reggae danso
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hivi kweli mashabiki wa reggae mmeanza kuchizika namna hii🤣Unaogopa kwa sababu tuna timu kali, bado tu huyo Jackson hajakaa vizuri na huyo Sterling akiwekwa benchi tutazifanya timu zingine kama tulivyowafanya mechi ya ufunguzi
Kwa taarifa yenu tulikuwa tunatetemeka tukikutana na Chelsea ile ya Tuchel.Tuchel sikuwa namchukia hata kidogo ila pia sikuwahi kumkubali 100% kwa sababu yeye alitegemea sana mbinu mbinu tu na nyota ya siku. Hakuwa kocha wa kuweka mfumo na kushinda kwa huo mfumo
Haipendezi kukosoa uumbaji wa Mungu.
Kwan ni kwel yupo hvyo? Em tulia kufulu unaijua ww, kufulu ni kama nikweli yupo hvyo au hana viungo nikamsema mtu hapo sawa usikurupuke. Huo ni utani tu na upo kwenye soka pia.Haipendezi kukosoa uumbaji wa Mungu.
Si ushabiki huu, ni kufuru.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app