verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,121
- 6,184
Nyie furaha yenu si usajiliHiyo furaha mliokuwa nayo ni ya mda mfupi tu wala haitadumu
Mna 'here we go' nyingi kuliko points mlizokusanya mwaka huu
Nyie furaha yenu si usajiliHiyo furaha mliokuwa nayo ni ya mda mfupi tu wala haitadumu
Nkunku atakuwa amerudi mechi ya Man cityJames, Badiashile, Chalobah, Malo gusto watakuwa wamesharudi.
Tutakuwa hatuna tu Nkunku, Chilwell, Lavia na Fofana
Watu wanaojua mpira wanakwambia we unaleta ubishi. Ngoja tuje tuwapige nyinginyingi kwanza mkae kwa kutulia, manake dharau zimezidisio kirahis hivyo! Sisi ni wabovu ila liva walishindwa kuchukua point, achilia mbali kudominate mchezo.
Man u na ubovu wake akikutanaga na City huwa anampapasa kama mkewe. So gemu za derby usizichukulie kiwepesi hivyo.
Namuheshimu Pochetino sababu ana mbinu na mjanja kusoma mchezo ,Arsenal anapigwa asubuhi na mapema
Pochettino ni kocha wa mbinu hasa kwa timu zinazojiita ziko juu kama Arsenal
Ninachoomba tu Cucurella asicheze siku hiyo 50/50
Najua Gusto atakuwa bado anatumikia kifungo cha red card
James atakuwa yupo fit kwa kiwango gani sijui
Gallagher Caicedo Enzo, Lesley tuyna viungo wazuri sana
Levi Colwill, Badiashile, Axel Disasi, watakuwa fit pamoja na Silva. Worry yangu ni International Matches za South American zingine hadi tarehe 18 October wakati tunacheza 21 Oct
Cucurella saiv naona kaiva kimtindo Pochettihno anajua kumtumiaArsenal anapigwa asubuhi na mapema
Pochettino ni kocha wa mbinu hasa kwa timu zinazojiita ziko juu kama Arsenal
Ninachoomba tu Cucurella asicheze siku hiyo 50/50
Najua Gusto atakuwa bado anatumikia kifungo cha red card
James atakuwa yupo fit kwa kiwango gani sijui
Gallagher Caicedo Enzo, Lesley tuyna viungo wazuri sana
Levi Colwill, Badiashile, Axel Disasi, watakuwa fit pamoja na Silva. Worry yangu ni International Matches za South American zingine hadi tarehe 18 October wakati tunacheza 21 Oct
Game hazifanani mjomba, eti kisa Arsenal kamfunga city ndio hatofungwa na timu yoyote? au kisa City kafungwa na Arse88 ndio unafikiri ndio mdebwedo kila timu itamfunga. Mpira haupo hivyo.Sawa we jifariji, kwanza umeangalia game huko uone jamaa sio tu kwamba wanauwezo ila wana fighting spirit ya hali ya juu.
Hamna kitu mule, anapitika kirahisi sana.Cuc
Cucurella saiv naona kaiva kimtindo Pochettihno anajua kumtumia
Kwa kauli hiziGame hazifanani mjomba, eti kisa Arsenal kamfunga city ndio hatofungwa na timu yoyote? au kisa City kafungwa na Arse88 ndio unafikiri ndio mdebwedo kila timu itamfunga. Mpira haupo hivyo.
Hizo kondoo sisi ndio tunazitoa bikira.
Naona leo unasifia sanaArsenal anapigwa asubuhi na mapema
Pochettino ni kocha wa mbinu hasa kwa timu zinazojiita ziko juu kama Arsenal
Ninachoomba tu Cucurella asicheze siku hiyo 50/50
Najua Gusto atakuwa bado anatumikia kifungo cha red card
James atakuwa yupo fit kwa kiwango gani sijui
Gallagher Caicedo Enzo, Lesley tuyna viungo wazuri sana
Levi Colwill, Badiashile, Axel Disasi, watakuwa fit pamoja na Silva. Worry yangu ni International Matches za South American zingine hadi tarehe 18 October wakati tunacheza 21 Oct
Gusto kashamaliza kutumikia redcard mech ijayo yuko kikosini kubwa zaidi nkuku kaanza individual training ata kabla ya november kufika nahisi atakua available mwezi ujaoArsenal anapigwa asubuhi na mapema
Pochettino ni kocha wa mbinu hasa kwa timu zinazojiita ziko juu kama Arsenal
Ninachoomba tu Cucurella asicheze siku hiyo 50/50
Najua Gusto atakuwa bado anatumikia kifungo cha red card
James atakuwa yupo fit kwa kiwango gani sijui
Gallagher Caicedo Enzo, Lesley tuyna viungo wazuri sana
Levi Colwill, Badiashile, Axel Disasi, watakuwa fit pamoja na Silva. Worry yangu ni International Matches za South American zingine hadi tarehe 18 October wakati tunacheza 21 Oct

Gusto kashamaliza kutumikia redcard mech ijayo yuko kikosini kubwa zaidi nkuku kaanza individual training ata kabla ya november kufika nahisi atakua available mwezi ujao
Shida inakuja kwa enzo na caisedo yan mech zao n kuamkia tareh19![]()
Hata wakiwepo bado hatuna team ya kumfunga arsenal mkuu, arsenal imetimia mno. Achilia mbali kabisa issue ya kucheza vizuri sana, wale viumbe Wana fighting spirit ya hali ya juu sana.Caisedo na Enzo hawatajumuishwa kwenye mchezo. Kwani watafika late pamoja na uchovu wa safari. So mechi hii naona arsenal wanapoint zao tatu za uhakika.
Sisi tufanye kusubiri ngoja hawa arsenali wacheke kidogo
Mpango unafanywa wawai mapemaCaisedo na Enzo hawatajumuishwa kwenye mchezo. Kwani watafika late pamoja na uchovu wa safari. So mechi hii naona arsenal wanapoint zao tatu za uhakika.
Sisi tufanye kusubiri ngoja hawa arsenali wacheke kidogo
Ebu nyamaza basi hadi siku ya mechi na uje ukae viti vya mbele kabisaHata wakiwepo bado hatuna team ya kumfunga arsenal mkuu, arsenal imetimia mno. Achilia mbali kabisa issue ya kucheza vizuri sana, wale viumbe Wana fighting spirit ya hali ya juu sana.
Msinipopoe ni Mimi mwanachelsea mwenzenu wa huku pandagichiza.
Gari limeshawaka wewe endelea kuota. Hapo tuna point 12+Kapumzikeni vizuri international break, mvute pumzi ya kutosha mana najua mpaka inafika x-mas watakua wamebaki watu 2 tu humu..
Nzi wa buluu nyie!😁
Repost: Picha nimechukua humu humu, msije mkaniua😂
View attachment 2774845