Layman/maamuma wengi wanadhani Caicedo Ni DM,caicedo ni box to box ni kama kante nafikiri akipatiwa leiva ataendelea kuubonda kweli kweli, Caisedo sio busquet, casemiro , Rodri hawezi kulinda back 4 kwa sababu ana hama hama
Hiyo ni twitter au Instagram?Chelsea wameshinda wamefungua space ,ngoja nikawavuruge View attachment 2774719
Vipi mkuu bado unachakusemaHili genge la Rent Boys litamaliza Ligi na piints sawa na umri wa Suphian Juma 😂
Hiyo ni twitter au Instagram?
Kapumzikeni vizuri international break, mvute pumzi ya kutosha mana najua mpaka inafika x-mas watakua wamebaki watu 2 tu humu..
Nzi wa buluu nyie!
Repost: Picha nimechukua humu humu, msije mkaniua
View attachment 2774845


Mechi ngumu hapo ni ya city, hata city wenyewe wajiangalie.Kapumzikeni vizuri international break, mvute pumzi ya kutosha mana najua mpaka inafika x-mas watakua wamebaki watu 2 tu humu..
Nzi wa buluu nyie!😁
Repost: Picha nimechukua humu humu, msije mkaniua😂
View attachment 2774845
NotedMechi ngumu hapo ni ya city, hata city wenyewe wajiangalie.
Pia usisahau kunote mfungaji wa magoli y chelsea Vs Ars88 ni fundi mmoja wa kiukraine. Itauma eeeh?Noted
Hii kitu itawaumaa sanaaPia usisahau kunote mfungaji wa magoli y chelsea Vs Ars88 ni fundi mmoja wa kiukraine. Itauma eeeh?