James Rodriguez 10
Senior Member
- May 4, 2023
- 142
- 230
To be honestPia usisahau kunote mfungaji wa magoli y chelsea Vs Ars88 ni fundi mmoja wa kiukraine. Itauma eeeh?
Bado hatuna team ya kumsumbua arsenal. Labda mpaka February huko ndipo naweza kuwa na guts za kumtaka yeyote.
