Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wa kwanza kuondoka ni wamiliki,

Wamiliki kwanini waondoke wakati wanamwaga hela za kutosha? Mchezaji munayetaka ndiye munayempata, mukigombania Mchezaji na Timu yoyote lazima mumpate nyinyi kwa kuongeza dau kama mulivyofanya kwa Wachezaji waliotakiwa na Liverpool, sasa kwanini Tajiri anayemwaga mihela unataka aondoke?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom