Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,080
- 16,054
Ndo mnachojua hicho.. Nzi wa buluu nyie!January tusajili hii mashine kama atapatikana sokoni.View attachment 2763120
Ndo mnachojua hicho.. Nzi wa buluu nyie!January tusajili hii mashine kama atapatikana sokoni.View attachment 2763120
Soko lake hamtaliweza kwanza Kipara hawezi mwacha akaendaJanuary tusajili hii mashine kama atapatikana sokoni.View attachment 2763120
Wamewakataa wachezaji wenye experience na mabaki yote ya Roman na ndio maana tuko kwenye hali hii
Naye anaenda kujoin Marasta wazee wa reggaeTwende na Victor Osimhen muda huu, tuingie mkataba naye halafu January twende naye Darajani
Nafikiri Toddi umekaa mkao mzuri. Mungu katupa huyo tusipoteze nafasi hii.
View attachment 2763612
View attachment 2763613
Jackson katengenezewa nafasi 11 hadi sasa na zote kazipotezaUnadhani kumsajili Victor ndio kumaliza ukame wa kufunga magoli?
Nakuhakikishia ataingia kwenye mkumbo wa failure strikers kama tutashindwa kuboresha maeneo mengine yanayomzunguka haswa eneo la Attacking midfield na wingers + selection, mifumo na mbinu n.k
The Blues sasa hivi tunao wingers za kijinga sana, haziwezi kutengeneza nafasi za magoli wala kufunga magoli.
Angalia mawinga wa City na Arsenal wanavyotiririka, walivyo na impact kubwa Kwenye kutengeneza nafasi na kufunga magoli halafu linganisha na hawa vituko wetu Mudyk, Madueke na Sterling wanachojua ni kumbabua kipa, kupaisha na kupiga mpira nje na kupiga mashuti ya kindergarten.
Sasa hivi mlete Halaand THE BLUES ataflop ile mbaya, hatatengenezewa chances za kufunga magoli, kule mbele atahaha kama mbwa koko.
Mchukue Jackson mpeleke pale city au Arsenal atafunga magoli mengi ya kila aina.
Huu ugonjwa wa uhaba wa kutofunga magoli the blues ni mkubwa kuliko tunavyofikiria ni zaidi ya mifumo, style, uwezo wa mchezaji/Kocha, mbinu n.k.
Tuboreshe kwanza mambo ya msingi kabla ya kuendelea kusajili mazagazaga. Swala Usajili kwetu limeshaonekana sio suluhisho la matatizo mengi yanayotutafuna ndani ya uwanja.
Winga ni Mudryk/Chilwell na Sterling paraparazi. Huyu paraparazi anacheza kama kitoto cha kindagatenSasa kwanini Uongozi waliamua kumsajili JACKSON over mastriker wengine sokoni?
Kwanini mawinga wetu wanashindwa kufunga magoli?
Madrid hawana World class stricker lazima wapite nae na uzuri Madrid pesa ipo kutoa 120M kwao sio shidaTwende na Victor Osimhen muda huu, tuingie mkataba naye halafu January twende naye Darajani
Nafikiri Toddi umekaa mkao mzuri. Mungu katupa huyo tusipoteze nafasi hii.
View attachment 2763612
View attachment 2763613
In Todd Boehly we trustMadrid hawana World class stricker lazima wapite nae na uzuri Madrid pesa ipo kutoa 120M kwao sio shida
Wachezaji wenye ndoto kama osimhen hawawezi kuja kuchezea timu kama Chelsea hii ya sasa hata umpe mshahara million kwa wiki , sisi tuendelee na wakina Michael JacksonIn Todd Boehly we trust
FINALLY MBUZI KAONA MWEZI
Poch ndio anaetukwamisha, utaona j3 Enzo ndio anacheza no 10 badala ya PalmerCucurella leo kacheza vizuri na kacheza RB
Palmer tumelamba dume, No. 10 bora kabisa na kapata asists yake ya kwanza
Sachez amebadilika kuwa kipa mzuri sana
Colwill kacheza leo CB na amecheza vizuri
Natumaini Pochettino atajenga kutokea hapo
View attachment 2764502
Poch muoga sana anapenda kujilinda mno na Gallagher wake ndo kampa captain kabisaPoch ndio anaetukwamisha, utaona j3 Enzo ndio anacheza no 10 badala ya Palmer
Mjijga sana yule, aondoke tuPoch muoga sana anapenda kujilinda mno na Gallagher wake ndo kampa captain kabisa