[emoji16]Sema wanetu mechi ijayo mnacheza na brighton sehemu pekee yakujiokoteza point hapo
Caicedo ni average player tuu sema ni vile amekuwa hyped Sana baada ya kombe la Dunia ila ni WA kawaida Sana [emoji23][emoji174]Swali langu ni lile lile Caicedo mmepigwa au hamjapigwa?
Wee jamaa [emoji28]Caicedo anakaba halafu Enzo ananzisha mashambulizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91]
View attachment 2760995
Fangasi fc de Cheltako chelwowo
Huu ndiyo uhuni sasa 😂😂😂Sema wanetu mechi ijayo mnacheza na brighton sehemu pekee yakujiokoteza point hapo
Niliwahi mwambie chizi mkoja wa chelshit baada ya poche kusign pale darajani [emoji23]Nilikua nasema huyu kocha kiazi kuna jamaa yenu mmoja akawa anabisha kwa nguvu zote.
Unawatia moyoSema wanetu mechi ijayo mnacheza na brighton sehemu pekee yakujiokoteza point hapo
Nyie kila kocha mna wasiwasi naye [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nina wasi wasi na pochetino CV YAKE
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baada ya mechi wachezaji wameomba mechi zijazo wacheze bila mashabiki labda watapata utulivu, kujiamini na kuonyesha uwezo wao.
Mapaparazi [emoji23][emoji23][emoji23]Siamini kocha ni tatizo ila naamini wachezaji hawana uwezo.
Sterling na Jackson wapate nafasi ngapi ili wafunge magoli?
Mudyk uchezaji gani ule wa kupambana na vitu visivyoonekana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani mpaka mje mnyoe dread
Nahapo bado hamjasema
Tena?[emoji1787]Kweli Roman Abramovich alikuwa anaujua mpira, kuanzia usajili wa makocha na wachezaji mpaka uchezaji uwanjani.
Kwako Kashasha OllaChuga OcSwali langu ni lile lile Caicedo mmepigwa au hamjapigwa?