Wa kwanza kuondoka ni wamiliki,Kiufupi kocha na wachezaji wote wanatakiwa waondoke. Tuanze upya, kuliko kuendelea na hiki kikosi cha mabox
Kocha amechangia sana kwa hali tunayopitiaKocha ni tatizo, angalia spurs muangalie Bissouma anavyocheza hivi sasa na yule bissoumq wa msim uliopita na kabla yq hapo
Bissouma wa Angie Postegleou ni kama yule wa Brighton
Kama huamini kocha hatuna angali hakuna mbinu zozote anazotumia ndani ya mchezo unaoendelea
Sub zake ni zile zile kila siku
Palmer alisajiliwa acheze 10 , ila cha ajabu anasugua
Wote tulikuwa tunategemeq kuonq double pivot ya Enzo n Caicedo ila ni opposite hivi sasa cha ajabu galagher eti ndio No 6 tangu lini.
Wote tunajua Galagher sio 6.
Hakuna Kocha pale, Chelsea FC tumepigwa vibaya sana.Nilikua nasema huyu kocha kiazi kuna jamaa yenu mmoja akawa anabisha kwa nguvu zote.

Na bado hadi maji tuite mma Wana The BluesKocha ni tatizo, angalia spurs muangalie Bissouma anavyocheza hivi sasa na yule bissoumq wa msim uliopita na kabla yq hapo
Bissouma wa Angie Postegleou ni kama yule wa Brighton
Kama huamini kocha hatuna angali hakuna mbinu zozote anazotumia ndani ya mchezo unaoendelea
Sub zake ni zile zile kila siku
Palmer alisajiliwa acheze 10 , ila cha ajabu anasugua
Wote tulikuwa tunategemeq kuonq double pivot ya Enzo n Caicedo ila ni opposite hivi sasa cha ajabu galagher eti ndio No 6 tangu lini.
Wote tunajua Galagher sio 6.


Waliichukua timu kiujanja ujanja toka kwa mmiliki wake Roman Abromovich,na haya ndio matokeo yake.Aliye Iloga hii timu aionee huruma basi
Wamarekani ndiyo watapata wanachokitafuta.Enzo no 10🥲
Colwill LB🥲
N.jackson
NI MUDA PIA WA THIAGO SILVA KUPUMZIKA
PALMER yupo nje wakati ni mtengeneza nafasi mzuri
Pochettino anachokitafuta atakipata

Lembu huyo atakuwaNilikua nasema huyu kocha kiazi kuna jamaa yenu mmoja akawa anabisha kwa nguvu zote.



Hapa hawana mechi hata moja ya kushindaMnashida ngapi kati ya hizoMii naona mtapata sare na ndugu zenu Man united
maana sisi ni familia 🫂View attachment 2761096


Tumrudishe mwamba LampardKocha amechangia sana kwa hali tunayopitia
Uwezo wake wa kuamua mdogo sana
Uwezo wake wa kimbinu mdogo sana
Uwezo wake wa kudemand wachezaji wacheze vizuri mdogo sana
Pochettino sioni utofauti wake na Potter anayewsifia wachezaji wakati hakuna matokeo mazuri
Na bado.Hakuna Kocha pale, Chelsea FC tumepigwa vibaya sana.
Makocha wanaojitambua kama Enrique walikataa ufala wa kutawaliwa kila kitu kimaamuzi kwa kunyang'anywa umeneja na Mabosi wakuu Wamarekani.
Mechi ya pili sijaenda kuiangalia Chelsea FC na bado nitaendelea kutoangalia mechi zingine hata kama itashinda mechi 5 mfululizo lakini Pochettinho ni everage Coach.
Sijutii kabisa kutoangalia mechi za Cheshii FC
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Si mlikuwa mnashangilia Tuchel kuondokaWamarekani ndiyo watapata wanachokitafuta.
Gari zuri bile Dereva mahiri ni sawa na kuufukuza upepo tu.
Wachezaji wapya wahawezi kuwa wazuri pasipo Kocha bora.
Pochettinho ni everage Coach maana hajawahi kubeba kombe lolote kubwa Ulaya zaidi ya kuendelea kuleta maumivu makali kwa timu kubwa ya Chelsea FC ambayo ilishawahi kubeba UEFA CHAMPIONS LEAGUE mara 2, Kombe la klabu bingwa, UEFA super cup, Europa n.k.
Na bado
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
