IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,752
- 7,124
Hivi nyie timu yenu ina matatizo gani
Mkuu tutamlaumu tena mchana kweupe kwa sababu alishiriki ujinga wa kuwasajili watoto tupu kwa ajili ya first team.Kwa wachezaji hawa huwezi kumlaumu Poch
Kama point moja tunapata kwa shida kwa litimui bovu kama Bornamouth, hao wengine tutaweza kweli!Kwa ratiba ya huko mbeleni hata kupata point 1 itakuwa ni shida
Hivyo vipaji vya watoto anaenda kuviua, kweli hi ndo Chelsea ya kutegemea gharaga na Raheem kutuokoa loh, mambo yana badilika kwa kasi, ila tatizo ni poxhitino sio wachezaji, ndo maana litimulia spursMkuu tutamlaumu tena mchana kweupe kwa sababu alishiriki ujinga wa kuwasajili watoto tupu kwa ajili ya first team.
Alimkataa Felix
Nani ajuaye wengine aliowakataa ili kuwakumbatia akina Noni Madueke
Bora nyinyi mna morali ya ushindi ila hamna uwezo. Sisi hatuna uwezo wala morali ya ushindiWazee wa big spending nini tena hiki mnachocheza
Nyie na sisi man utd hatuchekani
Au nasema uongo ndugu zangu
Kwa huu uongozi mpya masalia yote ya Abromovich hayatakiwi, yanaondolewa yote mdogomdogo.Kila siku najiuliza lukaku angekuwepo na akacheza na Jackson pochetino angepungukiwa Nini naona uhuni TU unaendelea huko mbele
Hata Kwa Liverpool hiyo Moja tuliyopata ni juhudi za mganga tuu .Kama point moja tunapata kwa shida kwa litimui bovu kama Bornamouth, hao wengine tutaweza kweli!
Leo Mudyrk kacheza fresh kuliko siku za nyuma ,unless hujaangalia mpira .Vibwengo wa Mudryk watasema tumpe muda
Sasa ile ya Gallagher ni clear chance kweli? Pass size ya kiuno nayo ni clear chance.Leo Mudyrk kacheza fresh kuliko siku za nyuma ,unless hujaangalia mpira .
Pasess chache kapewa na bado ametengeneza clear chances mbili ambazo yule mpumbavu Ghallagher na Jackson wameshindwa kumalizia
Point 1 against BurnleyMechi zetu tano zijazo
Tutapata points ngapi hapo
- Aston Villa (H)
- Brighton (H) CC.
- Fulham (A)
- Burnley (A)
- Arsenal (H)