Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,935
- 27,192
Ian Maatsen kaingia na Chilwell maybe ufanisi unaweza ungezeka upande wa kulia
Angalia alivyokuwa anapanga Pre season kikos chake halaf na sasa.Kwa wachezaji hawa huwezi kumlaumu Poch
Kila kitu hakielezeki kuanzia wachezaji mpka mwalimuHizi ndio mechi za kupata point 3 hata kama kikosi kiweje. Yan mechi kama hizi ndio zinadetermine mindset na mentality ya wachezaji na bench la ufundi yan hata kama tunakosa wachezaji muhimu. Leo tutajua hapa
Mbona unaogopa kumtaja Cole Palmer?😃FT 0-0
Kwa hiki nilichokiona leo tusahau hata ndoto za kuingia top 4. Wachezaji wameridhika sana hawapambani kabisa. Chilwell anapigiwa pasi hakimbii anataka pasi imkute. Walau Sterling na Gallagher wanaonesha kuwa hai. Thiago Mungu anamlinda bado yumo.
Mkuu kumbe Chilwell naye ni injury prone inawezekana kuna dalili alionyesha akaona ampunguzie dakika kuliko kumuanzisha moja kwa moja. Lakini pia kimfumo inawezekana kuna kitu alihitaji kwa Colwill kuliko kumuanzisha Maatsen au ChilwellAngalia alivyokuwa anapanga Pre season kikos chake halaf na sasa.
Je colwill ni LB tangu lini?
Jins tunavyoshambua unaona kabisa hakuko sawa, tunakaa sana na mpira badala ya kuachia
Cole Palmer siwezi kumjudge kwa sababu bado hajapata playing timu ya kutosha. Ila mpaka sasa anaonyesha ana uwezoMbona unaogopa kumtaja Cole Palmer?😃
kuanzia mwanzom mwa msim anampanga Colwil kama LB,Mkuu kumbe Chilwell naye ni injury prone inawezekana kuna dalili alionyesha akaona ampunguzie dakika kuliko kumuanzisha moja kwa moja. Lakini pia kimfumo inawezekana kuna kitu alihitaji kwa Colwill kuliko kumuanzisha Maatsen au Chilwell
Kwa ratiba ya huko mbeleni hata kupata point 1 itakuwa ni shidakuanzia mwanzom mwa msim anampanga Colwil kama LB,
Tuna wachezaj ambao wanahitaj mwalim anaeweza wapush kwenda level nyingine na sio za hawa trust the process.
Poch kimbinu hamna kitu,