Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

IMG_0908.jpg

Cheltako chelwowo
 
Hii ndii Weekend pekee nyumbu na Kenge wanepata usingizi mzuri

Mbaya zaidi hii weekend imeenda fasta sana
 
Weka hii kumbukumbu msije kukimbia humu
Nilikwambia kwa kipa Sanchez mtapigwa had na timu za mchangani

Ulikuwa unamfananisha Sanchez na David Raya

Mara 100 Kepa

Hizo mechi labda ya manjesta ndio mtaokota point
 
arsenal anawazidi mdomo tu.
Lkn nawashangaa mko humu jukwaani kila muda au mnakunywa kahawa kimya kimya tena kwa siri coz sioni sababu ya nyinyi kuwa humu....acheni uchoyo km mnalipwa au kuna kahawa tupeni na Sisi wageni. Mambo ya soka nyie tyr mmestaafu
Kuna mashabiki Wana mdomo kuliko manjesta ?

20230903_123718.jpg
 
NARUDIA TENA
arsenal anawazidi mdomo tu.
Lkn nawashangaa mko humu jukwaani kila muda au mnakunywa kahawa kimya kimya tena kwa siri coz sioni sababu ya nyinyi kuwa humu....acheni uchoyo km mnalipwa au kuna kahawa tupeni na Sisi wageni. Mambo ya soka nyie tyr mmestaafu
 
Nilikwambia kwa kipa Sanchez mtapigwa had na timu za mchangani

Ulikuwa unamfananisha Sanchez na David Raya

Mara 100 Kepa

Hizo mechi labda ya manjesta ndio mtaokota point
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na wewe, kuwa na sanchez uwanzani ni sawa mpo pungufu.
 
20230911_180718.jpg
Huu mbona kama upgwaji tena? Huyu kwani hakufanyiwa medical check up kabla ya kusajiliwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom