johrobby
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,066
- 2,252
Amna mchezaji anaemuangusha poch anajiangusha mwenyewe yule akili ikimkaa sawa ndo tutaanza kushindaPoche anaangushwa na usajili wa Tajiri wa makinda
Amna mchezaji anaemuangusha poch anajiangusha mwenyewe yule akili ikimkaa sawa ndo tutaanza kushindaPoche anaangushwa na usajili wa Tajiri wa makinda
Kwanini kwako unamuona poche hafaiAmna mchezaji anaemuangusha poch anajiangusha mwenyewe yule akili ikimkaa sawa ndo tutaanza kushinda
poch n kocha mzuri sana na naamini kwa ii project ya chelsea ni mtu anaetufaa. Ila kuna uoga ameuingiza ambao unamtesa na akuwa nao kwenye pre season saivi amekuja na mfumo ambao anawatumia wachezaj out of position.Kwanini kwako unamuona poche hafai


poch n kocha mzuri sana na naamini kwa ii project ya chelsea ni mtu anaetufaa. Ila kuna uoga ameuingiza ambao unamtesa na akuwa nao kwenye pre season saivi amekuja na mfumo ambao anawatumia wachezaj out of position.
Kulikua kuna maana gan ya kuwa na LW kama yeye anamtumia LB kama LW.
Unatumia mfumo wa bek 3 viungo wa 3 wote defensive minded yani kule mbele anabak sterling na jackson watafanya nn
Game na liva ilikua ni sawa kutumia bek3 ila cha ajabu uo mfumo ameenda nao ad kwa Wimbledon![]()
Oyaa hivi Arteta aliona nini kwa hii kiumbe mpaka kutaka kuisajili. Maana natufuta sehemu yenye potential siioni zaidi ya filbert bai wa kizunguUtapeli hautakuja kuisha Duniani
€100m
Touches 6
Pass 4 tu
Dakika alizocheza 46
Nakwenda zanguView attachment 2744265
Aliona Talent inayohitaji kunolewaOyaa hivi Arteta aliona nini kwa hii kiumbe mpaka kutaka kuisajili. Maana natufuta sehemu yenye potential siioni zaidi ya filbert bai wa kizungu
We unaejua embu tuambie.Huna unachokijua kwenye ulimwengu wa ukocha bro
kijana Mudy anakutesa sana, inaelekea alikuumiza sana alivyowatosa. Move on, maisha yaendelee.Utapeli hautakuja kuisha Duniani
€100m
Touches 6
Pass 4 tu
Dakika alizocheza 46
Nakwenda zanguView attachment 2744265
Unaumia sana na Mudryk sijui machungu yako yataisha liniUtapeli hautakuja kuisha Duniani
€100m
Touches 6
Pass 4 tu
Dakika alizocheza 46
Nakwenda zanguView attachment 2744265
Kama wewe Kai anavyokutesakijana Mudy anakutesa sana, inaelekea alikuumiza sana alivyowatosa. Move on, maisha yaendelee.
Kama wewe Kai anavyokutesaUnaumia sana na Mudryk sijui machungu yako yataisha lini
Kai anitese kwa lipi? Labda ungeniambia Eden Hazard, juan Mata, Oscar ningekuelewa hawa ni wachazaji waliokuwa wananivutia sana na walionesha viwango vikubwa klabuni wameondoka ikiwa mashabiki tunawahitaji hakuna mshabiki wa Chelsea atayemkumbuka Kai at all kwa performance ipi alionesha itufanye tuteseke?Kama wewe Kai anavyokutesa
Sawa kocha wa mirembeHuna unachokijua kwenye ulimwengu wa ukocha bro





Labda wapambane na vibonde wenzao Manyumbu