Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nikutafsirie nilichokiandika
Mo Salah anaikataa Liverpool
- Taarifa za ndani zinadai Mo Salah hana furaha ndani ya Liverpool na kwenye game na Chelsea baada ya kutolewa alikasirika sana. Taarifa pia zinadai kuwa Salah amekubali wazo la kwenda uarabuni kumalizia career yake huko na kipato kinono kutoka kwa Al-Ittihad cha 1.5m kwa wiki
Source ya Taarifa za ndani za lembu : "Trust Me Bro"
 
Ila hii team inapoelekea itanifanya niihame

Poch n kocha mzuri ila sio kwa Chelsea mana imemzidi experience.
Team imejaza wachezaji wasiokuwa na experience
Tunajifariji team itakuwa kali miaka mitano ijayo kutokana na aina ya wachezaji tulionao, sasa wakati huo tutakuwa championship huko

Mm ni shabiki wa Man City kisiri siri
ushahamia Mancity duh

Ollachuga kasema kahamia Newcastle

Soon hili jukwaa litafungwa maana wote mtahama

Chelsea inarudi enzi zake inagombea nafasi na kina Bolton wanderas, Charlton, waycombe , Wimbledon

Mkohoti hawezi kuzijua hizo timu
 
Wazalendo wa kweli wanajulikana wakati wa dhoruba na mateso
 
Mpumzike Sasa kenge
1694099926429.jpg
 
Hahahahaha caicedo kalamba mchana 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Attachments

  • 1694165662911.jpg
    1694165662911.jpg
    105.3 KB · Views: 3
MACA

Moises Caicedo anapewa somo na kiungo mwenye World Cup yake kibindoni , hapo zime kutana £115m na £35m
FB_IMG_1694194635181.jpg
 
Dirisha lingekuwa linafungwa Jumatatu naimani Kesho Chelsea ingepeleka ofa ya £150m kwa Brighton kumsajili Ferguson kwa anayofanyaa.
 
Lavia kaumia ,so Ghallagher tunaye sana ,maanina mwaka huu tutakoma .
Siangalii mechi ya Chelsea tena mpaka huu msimu uishe ,sitaki presha za bure
Kama Gallagah ataendelea kucheza, tutaendelea kula fimbo kila kukicha.
 
Ila hii team inapoelekea itanifanya niihame

Poch n kocha mzuri ila sio kwa Chelsea mana imemzidi experience.
Team imejaza wachezaji wasiokuwa na experience
Tunajifariji team itakuwa kali miaka mitano ijayo kutokana na aina ya wachezaji tulionao, sasa wakati huo tutakuwa championship huko

Mm ni shabiki wa Man City kisiri siri
Poche anaangushwa na usajili wa Tajiri wa makinda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom