lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,490
Kuna mashabiki wa Chelsea nao wakiendaga kwenye majukwaa ya majirani wanakera kweli kweliUjue Flano unazingua sana ujue,😂😂😂
Kuna mashabiki wa Chelsea nao wakiendaga kwenye majukwaa ya majirani wanakera kweli kweliUjue Flano unazingua sana ujue,😂😂😂
King Didier sijamuona hata Salah,Kanu, JJ Okocha, au kwa kuwa ni weusi?Wachezaji bora kabisa wa mpira wa miguu kuwahi kutokea duniani kwa nyakati zote
Nini maoni yako
View attachment 2749458
Labda chelsea ya rwanda au ya buzaMzee wa jambia
Kwa Mujibu Wa IFFHS Yanga Africa wamepanda nafasi 9 Kidunia Kutoka nafasi ya 72 hadi nafasi ya 63
Simba Sports imepanda nafasi 1 Kutoka nafasi ya 132 hadi nafasi ya 131
Kwa Mujibu wa IFFHS Yanga Africa ni Bora kuliko CHELSEA waliopo nafasi ya 72.Hizi takwimu huwa ndo zinanivuruga hapa tu.
Sema CHELSEA na nyie mmekuwa Wabovu mnoo Khaaaa
Takwimu hizi ni Kuanzia 1 September 2022- 31 August 2023
Note; Mnyama Simba Sports akiwa nafasi ya 20 tutakuwa na Top 20 ieleweke hivyo..This is VAYOLENSI right?![]()
Ndio hapo sasa mpaka kina Wayne Rooney na Fernando Torres hawapo.King Didier sijamuona hata Salah,Kanu, JJ Okocha, au kwa kuwa ni weusi?
Do you know it's Very Easy to talk about Most EPL Teams without Calling their Name ???
For Example when you hear Most EPL Titles, Most Balon d Or Winners, Most points in EPL History, Most Trophies in EPL You will know we are talking Manchester United.
If you hear Most UCL in England, 1 EPL in 30 Years, Rejected by Caicedo, Enzo Fernandez and Lavia you will know we are talking about Liverpool.
When you hear Full Season unbeaten, Golden EPL, 0 European Trophies, Bottled, Elephant on Top of the Table you will know we are talking about Arsenal...
But when you start hearing Homeless, Hopeless, Sponsorless, Fulham, Stadium, Spent £600m to End 12th, 4 Coach used in a Season..... You will know that we are talking about Bayern Munich..

Allypipi acha maneno mengi mimi na wewe ni walewaleDo you know it's Very Easy to talk about Most EPL Teams without Calling their Name ???
For Example when you hear Most EPL Titles, Most Balon d Or Winners, Most points in EPL History, Most Trophies in EPL You will know we are talking Manchester United.
If you hear Most UCL in England, 1 EPL in 30 Years, Rejected by Caicedo, Enzo Fernandez and Lavia you will know we are talking about Liverpool.
When you hear Full Season unbeaten, Golden EPL, 0 European Trophies, Bottled, Elephant on Top of the Table you will know we are talking about Arsenal...
But when you start hearing Homeless, Hopeless, Sponsorless, Fulham, Stadium, Spent £600m to End 12th, 4 Coach used in a Season..... You will know that we are talking about Bayern Munich..
View attachment 2750676
Allypipi acha maneno mengi mimi na wewe ni walewale View attachment 2750843

Chelsea nyie ni wenetu kabisa, najua kesho hamtotuacha tuumie peke yetu coz we are brothers from another mother, we win together we lose together & also we are crying together. Na Felix alipenda kubaki Chelseaaisee Felix anakiwasha huko Barca, anaasist bila kugusa mpira!! Poch mwehu sana, nilianza kumtilia Poch mashaka alivyomkataa Felix, ili akabaki na kina Madueke na kina Ghalagah.
Poche mpumbavu sana yani leo anahangaika namba 10 wakati alimkataa Felix angetusadia sanaNa Felix alipenda kubaki Chelsea
Mechi ya Leo kawa MOTM kawachezesha wenzake vizuri sana kule mbele. Na huu mfumo wa Poche ungeendana naye sana sijui laaana gani Poche anayo
Poche ni mavi ya kukuPoche mpumbavu sana yani leo anahangaika namba 10 wakati alimkataa Felix angetusadia sana
Bado hujasemaaisee Felix anakiwasha huko Barca, anaasist bila kugusa mpira!! Poch mwehu sana, nilianza kumtilia Poch mashaka alivyomkataa Felix, ili akabaki na kina Madueke na kina Ghalagah.
Chelsea nyie ni wenetu kabisa, najua kesho hamtotuacha tuumie peke yetu coz we are brothers from another mother, we win together we lose together & we are crying together.
View attachment 2751436