Striker tu ana tia hurumaHuyu Jackson mmemtoa wapi aisee...
Mkuu we si ndo unawapaga nafasi ya compete top 4 wewe au sio weweImagine Timu inafungwa Na Mwendawazimu Elanga,Ujue Hiyo Sio Timu Ni Kikundi Cha Mdundiko![]()
Huyo mshamba mmojaMkuu we si ndo unawapaga nafasi ya compete top 4 wewe au sio wewe
Acha unafki chawa wao jikaze hata timu likidungwaImagine Timu inafungwa Na Mwendawazimu Elanga,Ujue Hiyo Sio Timu Ni Kikundi Cha Mdundiko [emoji23]
Pochettinho ni Kocha wa kawaida, muda utaamua tu [emoji16]Afu mnatolewa jasho na forest ambao nusu ya wachezaji wao ni wa mkopo. Dawasa nyieeeh