Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna watu wa aina tatu duniani
  1. Matajiri FC - wao wanazungumzia mambo yao, madhaifu yao na namna ya kuondokana nayo, nguvu zao na jinsi ya kuzitumia kwenye kujiletea maendeleo.
  2. Middle Class FC - Wao wanazungumzia matukio tu kwenye sehemu kubwa ya muda wao na kupoteza muda kwenye kujiletea maendeleo
  3. Mafukara FC - Wao ni kuwaongelea wenzao tu, kusengenya, kuona wivu, kuloga na kila siku kwa waganga ili wenzao na majirani zao wasifanikiwe
Je wewe uko kwenye kundi lipi?
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hii timu irudishwe kwa myahudi , yawezekana kuna laana tumetupiwa na yule myahudi ,Abrahmovich
1692888928884.jpg
 
Hili litoto nalo mechi ya westham kilicheza kipumbavu as if ni zezeta , kutusababishia penalty ya kipuuz .
Jinga kabisa hii timu , yaani mechi iliyopita nilichafukwa sana ,sikutarajia ujinga kama ule ,mi sijui Pochettino anawafundisha nini hawa madogo .
Bora niwe mshabiki wa notingham forest
 
Hili litoto nalo mechi ya westham kilicheza kipumbavu as if ni zezeta , kutusababishia penalty ya kipuuz .
Jinga kabisa hii timu , yaani mechi iliyopita nilichafukwa sana ,sikutarajia ujinga kama ule ,mi sijui Pochettino anawafundisha nini hawa madogo .
Bora niwe mshabiki wa notingham forest
Kila la Kheri
 
Sisi Luton hatuna mambo mengi, hata kama tukifungwa fresh tu, sisi tunaenda kupambana Caicedo na mudryk watoe maboko ya kutosha basi
 
Formation 3-4-2-1
Sub
  1. Lucas Bergstrom - mkopo
  2. Eddie Beach - mkopo
  3. Bushir Humphreys - mkopo
  4. Ian Maatsen - mkopo
  5. Marc Cucurella
  6. Lesley Ugochukwu - mkopo
  7. Diego Moreira - mkopo
  8. Mason Burstow - mkopo
  9. Noni Madueke
Wachezaji hapo kwenye sub wa first team ni wawili tu ambao ni Madueke na Cucurella
Madhara ya majeruhi - wachezaji tisa wa first team wako majeruhi halafu bado Pochettino anataka squad ndogo ya wachezaji 22. Hajitambui, itabidi alazimishwe abaki na wachezaji 30
Bahati nzuri akitolewa Lukaku aidha Washington au Lesley anaweza kubaki
1692987140012.png
 
Carlton Morris, jibabaa.. waweke kamba hawa nzi wa buluu tuendelee kuwasema.

Mwaka huu mbona watasema!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom