Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,468
- 14,621
Kule Everton alitaka kuwashusha daraja , huku Chelsea hakushinda mechi hata moja , anajipa mapumziko angekufa kwa stressHee!
Tena?
Kwanini?
Kule Everton alitaka kuwashusha daraja , huku Chelsea hakushinda mechi hata moja , anajipa mapumziko angekufa kwa stressHee!
Tena?
Kwanini?
Ndio mumfukuze?Kule Everton alitaka kuwashusha daraja , huku Chelsea hakushinda mechi hata moja , anajipa mapumziko angekufa kwa stress
Hapana lampard hatujamfukuza makubaliano ya mkataba yalikua hawe short term kochaNdio mumfukuze?
Bring back our Lampard😭Hapana lampard hatujamfukuza makubaliano ya mkataba yalikua hawe short term kocha
Umenichekesha aisee, angekufaje kwa stress? Hivi ukiwa kocha ukaona kabisa kazi inakushinda utakiwi kuachia kazi katikati? Lampard kwakweli alishindwa kazi sijui kwanini alitaka kuendelea.Kule Everton alitaka kuwashusha daraja , huku Chelsea hakushinda mechi hata moja , anajipa mapumziko angekufa kwa stress
Ukiacha wewe kazi unakosa maokoto, ila ukisubil wakufukuze unaondoka na mpunga wako atacama mkataba ulikua ni miaka 4 ukafundisha mwezi mmoja unafukuzwa kazi huku Bank ikiwa imejaa , na ndomaana Potter timu ilikua imemshinda lakini alikua hataki kuachia sabab alijua anamkataba wa muda mrefu na pesa nyingiUmenichekesha aisee, angekufaje kwa stress? Hivi ukiwa kocha ukaona kabisa kazi inakushinda utakiwi kuachia kazi katikati? Lampard kwakweli alishindwa kazi sijui kwanini alitaka kuendelea.
lampard alikaimu nafasi ya chek noris hadi kumalizia ligi kwa maana iyo kigi ilipoisha mkataba wake ukatamatikaNdio mumfukuze?
Wa Liverpool hutuoni mpaka uje uwamiss akina Lembua?
I miss you Mkuu
hamstring injury ni majeruhi ya misuli ya kwenye pajaJames tatizo lake sio la kufanyiwa surgery bali ana tatizo la misuli kuwaka moto/ maumivu ya misuli.
Hata Kovacic ana tatizo hilo akicheza mechi kadhaa, wiki 2 nje kuuguza maumivu ya misuli.
James anatakiwa akacheze ligi ya India ambayo haitumii matumizi makubwa ya nguvu kama Epl au basi awe kipa atumie mikono zaidi kuliko miguu.
Liverpool Bobby wangu Captain Marvelous hayupo.Wa Liverpool hutuoni mpaka uje uwamiss akina Lembua?
Kwanini tusimpe tu yeye mwenyewe mkataba wa maishalampard alikaimu nafasi ya chek noris hadi kumalizia ligi kwa maana iyo kigi ilipoisha mkataba wake ukatamatika
Yeye ndio ametaka kuuzwa wao walitaka kumtoa tu kwa mkopo.Chelsea ina pesa za kutupa, wanataka wamuuze Lewis Hall kwa pauni £30m halafu baada ya muda mfupi ujao warudi kuja kumgombania kumnunua kwa pauni £100m
View attachment 2719153
Huyu dogo kwann wamempeleka Championship?
Wameona Leicester city ni timu bora atapewa muda wa kutosha kuinua kiwango chake. Anaweza akarudi na Leicester city EPL kama alivyofanya Maatsen na BurnleyHuyu dogo kwann wamempeleka Championship?
Yes, baadaye nilikuja soma sehemu hivyo, Chelsea walikataa ila yeye akalazimisha, New castle ni timu yake ya utotoni na anapenda kucheza UCLYeye ndio ametaka kuuzwa wao walitaka kumtoa tu kwa mkopo.