Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

20230818_134015.jpg
 
Kuna siku nilisema humu dingi Silva ana umri mkubwa mara mbili ya hawa madogo akina James ,lakini atacheza mechi nyingi kuwazidi , hatujaenda mbali James kwanza next atakyefuata Chillwell , dah
Hawa madogo sijui wana matatizo gani ,na huyu James tusishangae msimu ndio umeisha ivyo mpaka msimu ujao au akibahatika kurudi atacheza mechi mbili tatu then kitandani tena .
Kuna tatizo Chelsea sio siri
 
James ameshakuwa pancha sana sio wa kumtegemea tena
 
Kuna siku nilisema humu dingi Silva ana umri mkubwa mara mbili ya hawa madogo akina James ,lakini atacheza mechi nyingi kuwazidi , hatujaenda mbali James kwanza next atakyefuata Chillwell , dah
Hawa madogo sijui wana matatizo gani ,na huyu James tusishangae msimu ndio umeisha ivyo mpaka msimu ujao au akibahatika kurudi atacheza mechi mbili tatu then kitandani tena .
Kuna tatizo Chelsea sio siri
Tatizo ni chelsea tena??!! au yeye mwenyew ndio mwenye tatizo mbona wengine hawaumii umii hovyo.
 
Kuna siku nilisema humu dingi Silva ana umri mkubwa mara mbili ya hawa madogo akina James ,lakini atacheza mechi nyingi kuwazidi , hatujaenda mbali James kwanza next atakyefuata Chillwell , dah
Hawa madogo sijui wana matatizo gani ,na huyu James tusishangae msimu ndio umeisha ivyo mpaka msimu ujao au akibahatika kurudi atacheza mechi mbili tatu then kitandani tena .
Kuna tatizo Chelsea sio siri
Halafu naye Pochettinoi wa ajabui sana, unawachagua makapteni wote sindano mkononi
 
Nasikia mnataka Balogun. Balogun naye anataka kutuacha sisi apate game time. Tupeni 70m guys. Ama naye asuke virasta mtupe 90?
Arsenal mnamuhitaji striker kuliko sisi
Nketiah sio striker kabisa, striker gani msimu mzima anafunga goli 4 tu
Jesus naye sio striker mzuri kwa sababu kwanza ni injury prone naye ni kama akina Havertz tu msimu mzuri kwake magoli sio zaidi ya 15

Kuhusu Balogun
Rekodi yake ya kufunga kwenye Arsenal U18, U23 na Reims zilikuwa nzuri sana.
  • U18 katika michezo 19 alihusika katika mabao 29
  • U23 katika michezo 11 alihusika katika mabao 17
  • Msimu uliopita kule Reims (Ligue 1) michezo 37 alihusika kna mabao 23
Hata hivyo huyu anaonekana kama Pepe V2.0, hatumtaki kabisa aje kula mshahara wa bure na kama ameikataa chelsea anatujua vizuri kuwa sisi hatuangalii kama tulikununua mil 100+, huwezi kuleta matunda, unawekwa bench hadi uchukie. Kama haamini akamuulize Romelu Lukaku a.k.a Bolingoli au Tingatinga
 
Sasa na Broja naye ambaye ni kitandani kila siku ? Tangia msimu uliopita ,Tusemeje ? ,Mi naona kuna tatizo kwa wachezaji na benchi la afya , hilo halina kipingamizi kabisa .
Broja naye hafai ndio maana mimi nitafurahi akiuzwa
 
Nasikia mnataka Balogun. Balogun naye anataka kutuacha sisi apate game time. Tupeni 70m guys. Ama naye asuke virasta mtupe 90?
Hatuwezi kusajiri mchezaji aliyekosa namba kwa hela zote hizo si bora tumrudishe Datro Fofana
 
Hajakosa namba. Hataki kupambania hiyo namba na wengine wazuri kama yeye au pengine Bora zaidi yake. Anataka mahali ambapo yeye atakuwa ndiye Bora na no.1 katika uchaguzi wa kocha. Huenda akija kwenu hatakuwa na ushindani mkubwa sana na atapata nafasi zaidi kuonyesha uwezo wake na kufika levels za juu kimpira
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom