Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,668
Hivi ni fagio la nini maana kuna baadhi ya comments sioni
Duh kuna fagio limepita humu sio poa
Duh kuna fagio limepita humu sio poa
Hata Mimi sielewiDuh kuna fagio limepita humu sio poa
Huyo mfagiaji akamatwe haraka sanaDuh kuna fagio limepita humu sio poa
Wachezaji wanaongea kulingana na mazingira elewa hiloKipa wenu kanogewa tayariView attachment 2718137
Olise anataka kuja kumlea mdogo wake pale darajanai, si unajua ukiwa sehemu then kakako anafanya kazi vizuri pembeni yako wewe mwenyewe unaheshimika.Huyu Olise tayari tumempata
Chelsea have activated £35m release clause into Michael Olise’s contract — deal advancing to final stages Clause has always been there despite denials and all parties will be in touch to finalise the agreement.Olise already said yes to Chelsea, time to fix details.
https://twitter.com/FabrizioRomano
@Fabrizio Romano
View attachment 2718221
For sale: Wachezaji sita wanauzwa
Issue ya Gallagher ni hadi pesa nzuri itolewe. Wasipotoa pesa nzuri anabaki
Pia taarifa zinadai kuwa Chukwuemeka au Lesley mmoja ni atatolewa mkopo
Chelsea rebuilding continue
- Conor Gallagher,
- Trevoh Chalobah,
- Ian Maatsen,
- Callum Hudson-Odoi and
- Hakim Ziyech.
- Carney Chukwuemeka or Lesley Ugochukwu out for loan
Hii Chelsea mpya kila mtu ataipenda
Naona kule wachezaji wengi wa U21 wanamezea mate Chelsea ya sasa na ya Pochettino
Jamaa amekuja kuwafundisha watu namna ya kufanya biasahara ya kusajili wachezaji...mimi nimekuwa nikijiuliza hivi biashara anayofanya huyu jamaa wa Chelsea inalipa kweli? Sikuelewa kwanini mabosswalimchagua kuwa yeye ndo awe anaendesha timu.Chelsea hadi sasa tumetumia Pauni 53.6m hapo FFP itatupigaje faini?
Boehly kweli ni business guru, anajua kutumia loophole za kibiashara
View attachment 2718232
Yaani kilichotumika hapo ni amortization ambayo ili uweze kufanya amortization vizuri lazima ufanye haya mambo manne nadhaniJamaa amekuja kuwafundisha watu namna ya kufanya biasahara ya kusajili wachezaji...mimi nimekuwa nikijiuliza hivi biashara anayofanya huyu jamaa wa Chelsea inalipa kweli? Sikuelewa kwanini mabosswalimchagua kuwa yeye ndo awe anaendesha timu.
LukakuYaani kilichotumika hapo ni amortization ambayo ili uweze kufanya amortization vizuri lazima ufanye haya mambo manne nadhani
Hayo ndio yalifanyika hadi tukapata mauzo ya pauni 232.3m na matumizi ya 285.9
- Kubargain na muuzaji ili ulipe kwa instalments nyingi iwezekanavyo
- Kumpa mchezaji mkataba wa muda mrefu
- Kuhakikisha wage bill inakuwa ndogo (Ndio maana wale wote wenye mishahara mikubwa wakauzwa
- Kuuza homegrown ili kuwa na margin kubwa ya profit, mfano uuzwaji wa Mount ulitupa faida kubwa, yaani ulituboost sana
View attachment 2718238
Kuna zile comments za yule jamaa alikuwa anatukana tukana zimeendaHivi ni fagio la nini maana kuna baadhi ya comments sioni
Inaongezekana badoLukaku
Ziyech
Hodoi hawa wakiuzwa bado faida itakuwepo
Tuna hazina kubwa sana