Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna uwezekano mkubwa ahwa hatutakuwa nao msimu huu kabla dirisha halijafungwa watakuwa wameuzwa au mkpo
  1. Gallagher - Atauzwa dirisha hili
  2. Chalobah - Atauzwa dirisha hili
  3. Maatsen - Atauzwa dirisha hili
  4. Hudson-Odoi - Atauzwa dirisha hili
  5. Lukaku - Atauzwa dirisha hili
  6. Chukwuemeka - Atapelekwa mkopo dirisha hili
  7. Lesley - Atapelekwa mkopo dirisha hili
 
20230816_133009.jpg
 
Kuna uwezekano mkubwa ahwa hatutakuwa nao msimu huu kabla dirisha halijafungwa watakuwa wameuzwa au mkpo
  1. Gallagher - Atauzwa dirisha hili
  2. Chalobah - Atauzwa dirisha hili
  3. Maatsen - Atauzwa dirisha hili
  4. Hudson-Odoi - Atauzwa dirisha hili
  5. Lukaku - Atauzwa dirisha hili
  6. Chukwuemeka - Atapelekwa mkopo dirisha hili
  7. Lesley - Atapelekwa mkopo dirisha hili
Maatsen hata uzwa bali atapelekwa kwa mkopo au atabakia kwasababu kocha anamkubali
 
Chelsea ina pesa za kutupa, wanataka wamuuze Lewis Hall kwa pauni £30m halafu baada ya muda mfupi ujao warudi kuja kumgombania kumnunua kwa pauni £100m
1692203220202.png
 
Hakim Ziyech amefail vipimo kwa Mara nyingine tena ya kujiunga na Galatasaray ya Uturuki.Hivi Ziyech ana gundu la aina gani au Mungu kampangia destination yake iwe Chelsea?
 
chelsea inaweza kuendelea kusajiri ndo kwanza imetumia 58
 

Attachments

  • IMG_20230817_083518_350.jpg
    IMG_20230817_083518_350.jpg
    71.6 KB · Views: 3
Chukueni na huyu sasa
 

Attachments

  • FB_IMG_1692256247849.jpg
    FB_IMG_1692256247849.jpg
    81.5 KB · Views: 9

Similar Discussions

Back
Top Bottom