Master kinga
Member
- Aug 15, 2023
- 43
- 35
Hata sijui hata wa arsenal piaHuu uzi wameufanya nn?
Hata sijui hata wa arsenal piaHuu uzi wameufanya nn?
Me 2😂😂😂😂
I miss you Mkuu
Mapato - Matumizi = 0 kwa miaka mitatauInabidi ifike ngapi Ndio itakuwa imevunja FFP
Huyu nae alikuwa wa kuuzwa tu hakuna jipya hapo kijana mdgo halafu mpuuzijames kaumia anasubiriwa kufanyiwa scan halafu tutaambiwa miezi mingine minne
Huyu hakustahili hata kuchaguliwa kuwa kapteni
Akina Boehly utashangaa mwakani akawekwa sokoni
Ameenda MonacoKaka Zakaria Denis yupo wapi?
Cash Money Forever
Kaka yake yupo humu😂Ameenda Monaco
Sisi mashabiki wa Chelsea tunamjua huyu mechi moja ,miezi miwili hospital tukisikia habari zake sasahivi hatushtuki tenaLaanà ya kupora wachezaji imeanza kuwatafuna kenge nyie.View attachment 2720072
Nyie wana arts mnadunda tu kwenye ardhi ya Mungu.😂😂😂😂
I miss you Mkuu
Janjajanja akina Jon Stephano wanatamba tu ardhi ya Mola hii🤣Nyie wana arts mnadunda tu kwenye ardhi ya Mungu.
Hivi mwamba Mtaalam Lampard yuko wapi?Ameenda Monaco
Jobless kama mimi tuhHivi mwamba Mtaalam Lampard yuko wapi?