lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,490
Wabaya wetu ndivyo walivyotutakiwa wakati Roman Abramovich kapigwa ban
"Klabu inaweza kwenda kupasuka katika wiki!"
"Je, huu ndio mwisho wa Chelsea kama tunavyoijua?"
"Chelsea kuingia kwenye utawala"
"Chelsea inaweza kushuka daraja!"
Tangu miezi hii 18 imepita, tumekuwa tukiwagaragaza kwenye soko tena. Hebu fikiria tukianza kubeba tena makombe itakuwaje