hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,479
- 27,069
Utapeli hautakuja kuishaTaarifa zinasema kuwa Chelsea wametumia mbinu ya kutoshiriki kwenye mashindano ya UEFA kuendelea na mikataba ya miaka zaidi ya mitano kama ilivyowekwa na UEFA msimu ulioisha.
Pia kwavile upande wa PL hakuna sheria inayoweka kikomo cha miaka kwenye mkataba wa mchezaji lenye lengo la kutawanya pesa ili kukwepa ile lungu la FFP ya UEFA.
Ngoja tuone kama sheria ya UEFA itarudi nyuma kuwatafuta Chelsea baada ya kufuzu hapo baadae.

