Kuna mmoja alicoment kuwa hata kama timu haipo UEFA hiyo sheria inawabana tuTaarifa zinasema kuwa Chelsea wametumia mbinu ya kutoshiriki kwenye mashindano ya UEFA kuendelea na mikataba ya miaka zaidi ya mitano kama ilivyowekwa na UEFA msimu ulioisha.
Pia kwavile upande wa PL hakuna sheria inayoweka kikomo cha miaka kwenye mkataba wa mchezaji lenye lengo la kutawanya pesa ili kukwepa ile rungu la FFP ya UEFA.
Ngoja tuone kama sheria ya UEFA itarudi nyuma kuwatafuta Chelsea baada ya kufuzu hapo baadae.
Umtag kabisa. Maana anajisahau sanaKuna shabiki wa liverkuku alikuwa analilia kuona utambulisho aya picha izo apo
Mchezaji kama huyo hawezi kuchezeea timu kubwa kama Liverpool ni levo ya timu ndogo kama Chelsea hapo tuelewane ynwa
Mchezaji kama huyo hawezi kuchezeea timu kubwa kama Liverpool ni levo ya timu ndogo kama Chelsea hapo tuelewane ynwa


Embu jadili kuhusu kupata japo uefa 1 ndio uje tuongee kuhusu mpira vinginevyo nakuona kituko tu na hiyo arsenyani Yako mzee ni Moja kati ya timu ndogo
Wanakumbuka shuka kumekuchaBREAKING: The Premier League are set to close the Financial Fair Play contract loophole that is being successfully exploited by Chelsea by bringing their accounting rules in line with UEFA's from next summer.
The anomaly in accounting rules has been raised with the Premier League by several clubs & is set to be discussed at shareholders' meetings this season, with a view to a rule change being introduced next summer.
Sizitaki mbichi hiziMchezaji wa timu ndogo kama Chelsea huyo sio big club duniani kama Liverpool
Hilo swali jijibu mwenyewe mkuuKwani Chelsea ni timu kubwa nayo