Green Koryo
JF-Expert Member
- Jul 6, 2022
- 616
- 1,143
Nyie chelshit mmekutana na kiwete mwenzenu Liverpool mkatoa sare mkaona mkajiona mko vizuri eti?
Hiyo mechi ya Jana mlitakiwa mshinde Tena kwa zaidi ya magoli 2.Shida zenu za last season bado ziko pale pale acheni kujidanganya eti mna kikosi kizuri.
Tumekubali mkuu. Hatuko vizuri[emoji1666]