Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

livakuku
 
Attachments

  • Screenshot_20230812-220310.png
    Screenshot_20230812-220310.png
    132.3 KB · Views: 12
Tetesi: Deal Done

Huyu reporter mkubwa wa Liverpool amerusha kuwa tayari Chelsea wameafikiana na Brighton kuhsu usajili wa Caicedo kwa dau la Pauni mil 115
Caicedo atapewa mkataba wa miak 8 hadi 2031 na nyongeza ya mwaka hadi 2032
Time yake ya kule Ecuador ambayo ndio ilimshauri aisikilize na Chelsea baada ya Liver kuvamia inayoitwa Independiente del Valle itapewa pauni mil 23
View attachment 2715766
Mzee unatumia nguvu nyingi sanaaa tunajua tayari huyo ni wenu mtambulisheni Sasa
Lete page zenu mkimtambulisha mzeeee🤣🤣🤣🤣🤣 kelele nyingi sana tangu Jana matajiri 🤣🤣🤣🤣
 
Wachezaji wazoefu Chelsea angalau kwa miaka miwili ni watatu tu
  1. Silva - EPL na Chelsea
  2. James - EPL na Chelsea
  3. Chilwell - EPL na Chelsea
 
Tetesi: Deal Done

Huyu reporter mkubwa wa Liverpool amerusha kuwa tayari
Chelsea na Brighton wameafikiana kuhusu usajili wa Caicedo kwa ada la Pauni milioni 115
Caicedo atapewa mkataba wa miaka 8 hadi 2031 na nyongeza ya mwaka hadi 2032
Time yake ya kule Ecuador ambayo ndio ilimshauri aisikilize na Chelsea baada ya Liverpool kuvamia inayoitwa Independiente del Valle itapewa pauni milioni 23

Juzi usiku Chelsea waliwasilisha bid ya pauni 115M
Jana siku nzima walikuwa wakipatana kuhusu namna ya malipo na hiyo hatua nayo imepita
Usiku wa leo kuelekea Jumapili wanabadilishana emails
Reporter mashuhuri tuliowazoea kama Fab na wenzake hawakuripoti juu ya bid kutolewa wameripoti very shallow kuhusu majadilinano ya terms za malipo tu
Sio ajabu hata akaenda kupima mkojo na choo, na macho, na misuli na masikio na akili bila sisi kuambiwa
Natumaini kesho atatambulishwa kama tulivyotangaziwa
Huyu (@NathGissing) ndie aliyeripoti na @Simon Phillips ndie aliyemquote kuhusu hili deal
 
DEAL DONE, kesho anatambulishwa kwenye mchezo dhidi ya LivaKUKU
Hili dili ni kweli limeisha sijui kwa nini hawalitangazi rasmi??
Na liliisha tangu juzi usiku
Wale waandishi wa habari wa liverpool maarufu wao waliendelea kusodoa na hawakujua kinachoendlea wakijiwekea matumaini hadi wakamualika Tajiri wa Liverpool kutoka Marekani akina John W Henry na wajumbe wengine wa FSG Group kuja London kushuhudia pamoja na mechi ya Liverpool dhidi ya Chelsea lakini pia usajili wa Caicedo kwenda Liverpool
Sasa jana usiku walipogundua kumbe Brighton wamepokea bid ya Chelsea na wamekubalina namna ya malipo wakafyata wakatulia tuli, hakuna fujo tena
Sasa wamebaki kusema watafurahi sana Liverpool ikiifumua Chelsea kesho mbele ya Caicedo akishuhudia
 
Update za Caicedo kuja darajani
  1. Juzi usiku Chelsea waliweka bid ya pauni 115m mezani
  2. jana siku nzima walikuwa wakikubaliana namna ya malipo na hiyo pia wameshakubaliana
  3. Usiku wa leo kwa maana bado wanaendela, wanabadilishana emails. Mwandhis nguli wa habari za michezo wa Liverpool DaveOCKOP anasema iliyobaki ni formalities tu za paper work na baada ya hapo ndipo itakapotangazwa rasmi.
 
Kwanini Chelsea wamelipa £115m?
  1. Point 1: £100m-£110m zingekubaliwa iwapo tu itakuwa na muundo bora wa malipo kwa faida ya Brighton zaidi ya ule wa Liverpool.
  2. Point 2: Chelsea walilipa £115m ili muundo wa malipo uwe bora zaidi kwa faida ya Chelsea kuliko Brighton
 
Ile bid ya 60 hakusema ,na hakuna mwandishi mwenye info za caicedo kwa ukaribu Kama Fabrizio, Ornstein ndio alikuja kufichua Chelsea wametuma ofa ya 60 ikawa rejected ,hata ofa zilizofatia alikuwa hasemi kuwa zimekuwa rejected,

Ni wengi wanamuhisi hivo
Mnafeli
 
Kwa nini Chelsea wamelipa pauni 115m?
  1. Point 1: Hata kama Chelsea wangeamua kulipa pauni 100m, Brighton wangekubali endapo tu ina namna ya malipo bora in favor of Brighton kuliko ile ya Liverpool
  2. Point 2: Chelsea wamelipa pauni 115m ili namna ya malipo iwe bora in favor of Chelsea and not Brighton
Tunajua tayari mumemchukua mtambulisheni basi maana naona unatuaminisha sana Mzee 🤣🤣🤣 huyo ni wenu au haujiaamini🤣🤣🤣🤣🤣
 
Update za Caicedo kuja darajani
  1. Juzi usiku Chelsea waliweka bid ya pauni 115m mezani
  2. jana siku nzima walikuwa wakikubaliana namna ya malipo na hiyo pia wameshakubaliana
  3. Usiku wa leo kwa maana bado wanaendela, wanabadilishana emails. Mwandhis nguli wa habari za michezo wa Liverpool DaveOCKOP anasema iliyobaki ni formalities tu za paper work na baada ya hapo ndipo itakapotangazwa rasmi.

Haujiaamini mzee Kila muandishi unamleta humu mtambulisheni 🤣🤣🤣🤣🤣 Sasa kwani si mchezaji wenu
 
Hili dili ni kweli limeisha sijui kwa nini hawalitangazi rasmi??
Na liliisha tangu juzi usiku
Wale waandishi wa habari wa liverpool maarufu wao waliendelea kusodoa na hawakujua kinachoendlea wakijiwekea matumaini hadi wakamualika Tajiri wa Liverpool kutoka MArekani akina John W Henry na wajumbe wengine wa FSG Group kuja London kushuhudia pamoja na mechi ya Liverpool dhidi ya Chelsea lakini pia usajili wa Caicedo kwenda Liverpool
Sasa jana usiku walipogundua kumbe Brighton wamepokea bid ya Chelsea na wamekubalina namna ya malipo wakafyata wakatulia tuli, hakuna fujo tena
Sasa wamebaki kusema watafurahi sana Liverpool ikiifumua Chelsea kesho mbele ya Caicedo akishuhudia
Basi mtambulisheni deal limeisha naona unatuaminisha sana wakati wote humu tunnajua matajiri ambao munawazidi mancity pesa mumemchukua caicedo 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Usiwe na shaka kila kitu tayari, kabla ya mechi kila kitu kitakuwa hadharani.
Hili dili ni kweli limeisha sijui kwa nini hawalitangazi rasmi??
Na liliisha tangu juzi usiku
Wale waandishi wa habari wa liverpool maarufu wao waliendelea kusodoa na hawakujua kinachoendlea wakijiwekea matumaini hadi wakamualika Tajiri wa Liverpool kutoka MArekani akina John W Henry na wajumbe wengine wa FSG Group kuja London kushuhudia pamoja na mechi ya Liverpool dhidi ya Chelsea lakini pia usajili wa Caicedo kwenda Liverpool
Sasa jana usiku walipogundua kumbe Brighton wamepokea bid ya Chelsea na wamekubalina namna ya malipo wakafyata wakatulia tuli, hakuna fujo tena
Sasa wamebaki kusema watafurahi sana Liverpool ikiifumua Chelsea kesho mbele ya Caicedo akishuhudia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom