Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Mmekutana na wapaki bus wenzenu
Mkuu kwa maoni Yangu game ya Leo ni muhimu kushinda! Na pia dua zangu nataka city wafungwe au watoke sare!
Game yetu na city mkakati Wa kuipiga city uko palepale ata km Matokeo ya Leo wapate vp lazima kumkandamiza!
Yaliyo mkuta mamba na boko yamemkuta. Dalili za kumbwela zilianza kuonekana mapema tu humu. Kila m2 alikimbia uzi..
Sala zako zimesikilizwa
Maureen analalamika juu ya tactical approach ya West Ham eti anasema huu siyo mpira na ligi ya Uingerezs siyo bora. West Ham wamecheza mpira wa karne ya 19.
Huyu Maureen ni mnafiki sana, anasahau jinsi alivyopaki gusi pale OT na hata Imarati.

wahenga hawakukosea kusema nyani haoni kundule
Mtamsema sn lkn atabaki kua kiboko yenu!
Maureen analalamika juu ya tactical approach ya West Ham eti anasema huu siyo mpira na ligi ya Uingerezs siyo bora. West Ham wamecheza mpira wa karne ya 19.
Huyu Maureen ni mnafiki sana, anasahau jinsi alivyopaki gusi pale OT na hata Imarati.
Maureen ni drama queen
Kwa kifupi game ilikua Mbaya ingawa ni moja ya mbinu!
Lkn mpira ulikua haupendezi! Na sisi hua hatupaki gusi namna hiyo! Hua tunachezea mpira sio km wagonga nyundo walivyo fanya!