Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

CHELSEA STRIKERS OF ALL TIME:
1. Jimmy Greaves mechi 169; magoli 132.
2. Bobby Tamling mechi 380; magoli 202.
3. Didier Drogba mechi 341; magoli 157.
4. Kerry Dixon mechi 420; magoli 193.
4. Barry Bridges mechi 205; magoli 93.
5. Roy Bentley mechi 367; magoli 150.
6. Peter Osgood mechi 380; magoli 150.
 
Wengi wanamsikia Drogba tu:
Drogba akiwa Chelsea amewafunga Arsenal magoli 13.

Drogba alikuwa mchezaji aliyekamilika.
aliweza kufunga magoli kwa kichwa; alifunga kwa mguu wa kushoto, alifunga kwa mkuu wa kulia, alifunga kwa penati; pia alitoa pasi za magoli(assists) 71. Cheza mbali na Drogba.

Mkuu nakubaliana na wewe kwa yote hasa pale uliposema Makelele ni injini ya Gari na Drogba ni dreva Wa Hilo Gari!

Hapo sasa ndo patamu! Gari bila dreva haliendi na dreva bila injini kufanya kz Gari haliendi! Hawa watu wamefanya Makubwa sn yasioelezeka ktk timu ya Chelsea!
 
Drogba:

* Amecheza mara nane katika uwanja wa Wembley na amefunga magoli 8.
* Amecheza fainali 4 za kombe la FA na amefunga katika kila fainali; hiyo pia rekodi ya Uingereza.
* Ameisaidia timu ya Chelsea FC kuchukua Premier League mara 3. 2005, 2006, 2010(alikuwa mfungaji bora)

Wakuu Arsenal kapata sare Jana! Na sisi Leo tuko na game na westham ili tukishinda tuwe sawa kwa point na Arsenal. Na wakati huo huo Man City atakua ugenini kwa Spurs.

Nini mawazo yenu kwa game yetu ya Leo na pamoja na game ya city na spurs pamoja na Matokeo ya arsenal ya jana, huku tukiangalia game ya Chelsea na city tarehe 3.?

Na je km city akifungwa Leo maana kocha Wa spurs ktk mkakati wake amepanga kucheza mchezo Wa kushambulia tu! Km city akifungwa Leo hamuoni game yetu na city tarehe 3 itakua Ngumu Zaidi?

Nawakilisha wakuu;
 
Mkuu umesahau kitu kimoja, Goli la kwanza kufungwa ktk uwanja Wa New Wembley lilifungwa na Drogba! Naweza nikasema kua hii ni rekodi nzuri sn kwa Chelsea na Africa lkn sio kwa wahafidhina Wa England.

Mkuu ukiniambia nipige kura kwa wachezaji Wa Chelsea ya kwamba nani mkali ujue kura Yangu imeharibika! Kwasababu nawapenda wachezaji wote Wa Chelsea Wa zamani na sasa na wanaoihama Chelsea na kwenda timu zingine! Mimi upendo wangu uwafata popote!
 
Sisi tuzingatie gemu yetu; tushinde tupate points 52; tukifunga magoli 3 tutakuwa mbele ya Arsenal.
Kuhusu City afadhali washinde ili gepu lifunguke watakuwa mbele kwa points 13 dhidi ya Man Utd mabingwa watetezi; Sisi tukishinda tutakuwa mbele kwa 12. Hiyo ndo inatkiwa; City tutamalizana naye sisi wenyewe;

Mimi niko tofauti; nabaki na wanaobaki; lakini heshima yao itadumu.
Kwa sasa niko na waliopo kikosini; Maisha yanaendelea;

Mkuu agosti 8 nafurahi sn kuona hoja zako!

Marehemu Lucky Dube ktk wimbo wake mmoja uitwao Respect; anazungumza kwamba huwezi kua na heshima bila kua na Upendo!

Ukisema kwamba heshima Yao itadumu kwa maana ingine ni kwamba wataendelea kupendwa!
 
Last edited by a moderator:
Sisi tuzingatie gemu yetu; tushinde tupate points 52; tukifunga magoli 3 tutakuwa mbele ya Arsenal.
Kuhusu City afadhali washinde ili gepu lifunguke watakuwa mbele kwa points 13 dhidi ya Man Utd mabingwa watetezi; Sisi tukishinda tutakuwa mbele kwa 12. Hiyo ndo inatkiwa; City tutamalizana naye sisi wenyewe;

Mkuu kwa maoni Yangu game ya Leo ni muhimu kushinda! Na pia dua zangu nataka city wafungwe au watoke sare!

Game yetu na city mkakati Wa kuipiga city uko palepale ata km Matokeo ya Leo wapate vp lazima kumkandamiza!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom