Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa kifupi game ilikua Mbaya ingawa ni moja ya mbinu!
Lkn mpira ulikua haupendezi! Na sisi hua hatupaki gusi namna hiyo! Hua tunachezea mpira sio km wagonga nyundo walivyo fanya!

sasa mkuu ulitaka wapaki kama nyinyi?na wao wana kamtindo kao ka kupaki GOGO!
Yote ya yote ligi inazidi ugumu kinapofika kipindi hiki wale wanaoitwa timu ndogo ndio wanakuwa wakubwa kwa mda!bahati mbaya mmemalizana na man chest hair utd maana pale mna uhakika wa point 3 kwani mpk ikifika april atakuwa anashndana na crystal palace.
 
SEZAE Ntuzu..habari za asubuhi ya leo?
vipi,wajionaje na hali? maana.........
Ubarikiwe!

Jana shosti yako mwallu kashinda!

Hawakupata msiba Jana! Wako na furaha na matumaini ya kufufuka baada ya kumpata Mata!
 
Last edited by a moderator:
SEZAE Ntuzu..habari za asubuhi ya leo?
vipi,wajionaje na hali? maana.........

Dada yng mi niko pouwa kabisa! Jana big Sam kashirikiana na Mzee Wenger kunifanyia ubanizi!

Vinalinda Goli mpk nimekosa kufunga! Yani vibishi kweli vigonga nyundo!
 
Last edited by a moderator:
Umesahau gusi la OT hadi mkacheza bila striker?! Maureen ni noma kwa hilo; hivyo asimlaumu big Sam aliyeweza kuharibu kila mipango ya Chelskis. Shots 38, hakuna goli!!

Mkuu Nzi OT tulicheza mpira bhana hatukupaki basi kivile km wagonga nyundo!
 
Last edited by a moderator:
Mechi tisa mfululizo bila kufungwa katika mashindano yote: DWWWWWWWD
timu inacheza vizuri; kwa sababu sas Droo kwetu ni sawa na kufungwa; timu ikiwa na hamu ya kushinda droo inakuwa sawa na kufungwa; safi sana. Mechi yetu inakuja hiyo ndo tutazungumza vizuri tu.
Dada yng mi niko pouwa kabisa! Jana big Sam kashirikiana na Mzee Wenger kunifanyia ubanizi!

Vinalinda Goli mpk nimekosa kufunga! Yani vibishi kweli vigonga nyundo!
 
Kucheza bila straika yaani, 4-6-0. mfumo huo hata Hispania walicheza kwenye fainali dhidi ya Italia; Hispani wakashinda 4-0 kweye ubingwa wa Ulaya. Huo mfumo tutautumia jumatatu kumlaza Man City. Jumanne asubuhi, hamtatamani kuja kwenye hii thread kama kawaida yenu;
Mkuu Nzi OT tulicheza mpira bhana hatukupaki basi kivile km wagonga nyundo!
 
sasa mkuu ulitaka wapaki kama nyinyi?na wao wana kamtindo kao ka kupaki GOGO!
Yote ya yote ligi inazidi ugumu kinapofika kipindi hiki wale wanaoitwa timu ndogo ndio wanakuwa wakubwa kwa mda!bahati mbaya mmemalizana na man chest hair utd maana pale mna uhakika wa point 3 kwani mpk ikifika april atakuwa anashndana na crystal palace.

Mkuu DullyJr ni majo ya changamoto Mkuu!

Walikuja na kz moja na kwa nia moja wamefanikiwa kutoka na point moja! Mbaya sn kwetu!
 
Last edited by a moderator:
Kucheza bila straika yaani, 4-6-0. mfumo huo hata Hispania walicheza kwenye fainali dhidi ya Italia; Hispani wakashinda 4-0 kweye ubingwa wa Ulaya. Huo mfumo tutautumia jumatatu kumlaza Man City. Jumanne asubuhi, hamtatamani kuja kwenye hii thread kama kawaida yenu;

Ata jana walikua wasomaji tu lkn baada ya mpira tu kuisha wakaja wakifikiri na sisi tunakaa darini km Balantanda nawenzake!
Lkn wametukuta Tupo!
 
Last edited by a moderator:
pole sana...ila nimefurahi
Dada yng mi niko pouwa kabisa! Jana big Sam kashirikiana na Mzee Wenger kunifanyia ubanizi!

Vinalinda Goli mpk nimekosa kufunga! Yani vibishi kweli vigonga nyundo!
 
Kocha wetu Jose Mourinho amesema hivi; 'But we go there on Monday and Man City are favourites, but the result at the moment is 0-0.'

Yaani City pamoja na kwamba wanacheza kwao; hadi sasa Chelsea 0 - Man City 0.
Tunakuja jumatatu; kaeni tayari mashabiki wa City pamoja na wapambe wao.
 
Hichi ndio kitu cha kuzungumza! Sio wagonga nyundo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom