Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

They really lost an engine, they actually never recovered the loss. They tried with Diarra and so many more but no one got to that level, even Khedira is far from Makelele's midfield performance

Kuna fundi mwingine ambaye bado hatujapata mbadala wa jinsi alivyokuwa anacheza nitakuja kumzungumzia baadae ngoja nitafute msosi nile. Michael Ballack #13. alicheza mechi 105 Chelsea, huyu jamaa alikuwa muhimu sana.
 
Kwa hivyo Zidane alimaanisha kwamba Claude Makelele ndo "the entire engine" ya timu ya Real Madrid. Zidane alisikitika kumkosa Makelele kwenye timu.

Claude alisajiliwa Real Madrid akiwa na miaka 27. Alipokuwa anacheza Chelsea alikuwa na miaka 30 na kitu.
Huwezi kuzungumzia wachezaji wazuri kwa miaka 20 iliyopita ukose kutaja jina la Makelele; labda uwe mgeni na mpira wa miguu.

Mkuu agosti 8 ukipewa nafasi ya kupiga kura kati ya Drogba na Makalele ingawa wanacheza nafasi tofauti lkn kwa mapenzi yako Wewe unampenda nani Zaidi ktk Hawa?
 
Last edited by a moderator:
article-2547347-1B07123800000578-665_634x458.jpg

Like a boss...

article-2547347-1B07123000000578-750_634x406.jpg
 
Drogba Legend;
Drogba kafanya mambo mengi kwa muda mrefu. Goli lake la kusawazisha dhidi ya Bayern Munich Mei 19 2012; lilibadili mchezo kabisa; hatimaye tukachukua kombe kwa penati yake ya mwisho.
Drogba kwa mambo hayo mawili kunamfanya kuwa bora kuliko mshambuliaji yeyote aliyewahi kuchezea Chelsea; Drogba hajafunga magoli mengi kama Lampard; lakini Drogba amefunga magoli muhimu zaidi; heshima nyingi kwa Didier Drogba:clap2::clap2:
Mkuu agosti 8 ukipewa nafasi ya kupiga kura kati ya Drogba na Makalele ingawa wanacheza nafasi tofauti lkn kwa mapenzi yako Wewe unampenda nani Zaidi ktk Hawa?
 
Drogba Legend;
Drogba kafanya mambo mengi kwa muda mrefu. Goli lake la kusawazisha dhidi ya Bayern Munich Mei 19 2012; lilibadili mchezo kabisa; hatimaye tukachukua kombe kwa penati yake ya mwisho.
Drogba kwa mambo hayo mawili kunamfanya kuwa bora kuliko mshambuliaji yeyote aliyewahi kuchezea Chelsea; Drogba hajafunga magoli mengi kama Lampard; lakini Drogba amefunga magoli muhimu zaidi; heshima nyingi kwa Didier Drogba:clap2::clap2:

munachoshindwa kuelewa ni kwamba munaangalia sana display na kusifu ubora wa picha na mwonekano wake pasipo kuangalia hardware zinazofanya ubora na mwonekano huo,
leo hii ukimtoa messi barcelona umpeleke psg kutakuwa na utofauti mkubwa sana!
Huwezi msifu messi kabla hujamsifu xavi,iniesta,busqueti n.k hao ndio wanaomfanya messi pale alipo!
Tukirudi kwa drogba ni hivyohivyo kuna kina lampard,barack na viungo wengine hivyo shughuli ya makelele uwanjani ni nzito mno!
Makelele 100%
 
Asante Dully jr kwa hoja zako; lakini wewe ni "jirani' tu mashabiki wa Chelsea wanajua alichofanya Drogba.
Kwa miaka 10 iliyopita the best 4 players are:
Petr Cech - Goalkeeper 209 clean sheets.
John Terry - the best CB ever; the leader and legend.
Frank Lampard- having goals more than any one in Chelsea history.
Didier Drogba- the best #9 ever.

Makelele ana heshima yake; lakini Drogba habari nyingine:
Kama ni gari Makelele = Injini.
Didier Drogba = dereva.

Kazi ya Messi pale BARCELONA CF ni tofauti sana na kazi ya DROGBA.
Drogba alikuwa anacheza kama "lone striker au ukipenda mwite "one man show"; timu nzima inakaba wanamwacha apambane peke yake;

Mfano rahisi; Chelsea vs Barcelona 1 leg ya UCL SEMI-FINAL (london)
Chelsea ilikuwa nyuma ya mpira muda wote. Nafasi ilipotokea krosi moja tu ya Ramires droba akatupia nyavuni.
Nampenda Makelele; mimi ndo mtu wa kwanza humu jamvini kumsifia na kumzungumzia; lakini huwezi ondoa furaha ambayo mashabiki walipata siku ile ya tarehe 19 Mei 2012. Lile goli la kusawazisha...ilikuwa ni ushujaa mtupu. Drogba Legend;
munachoshindwa kuelewa ni kwamba munaangalia sana display na kusifu ubora wa picha na mwonekano wake pasipo kuangalia hardware zinazofanya ubora na mwonekano huo,
leo hii ukimtoa messi barcelona umpeleke psg kutakuwa na utofauti mkubwa sana!
Huwezi msifu messi kabla hujamsifu xavi,iniesta,busqueti n.k hao ndio wanaomfanya messi pale alipo!
Tukirudi kwa drogba ni hivyohivyo kuna kina lampard,barack na viungo wengine hivyo shughuli ya makelele uwanjani ni nzito mno!
Makelele 100%

Didier Drogba alikuwa staa akiwa OLIMPIQUE DU MARSEILLE (IOM) kabla ya kuja Chelsea. Drogba akawa staa, legend akiwa Chelsea kwa miaka 8. Drogba akawa staa China, Drogba ni staa Galatasaray ya Turkey; yeye si sawa na hao ambao wanategemea kucheza pamoja ndo wang'ae..jamaa anangaa popote ..kama jua vile..
munachoshindwa kuelewa ni kwamba munaangalia sana display na kusifu ubora wa picha na mwonekano wake pasipo kuangalia hardware zinazofanya ubora na mwonekano huo,
leo hii ukimtoa messi barcelona umpeleke psg kutakuwa na utofauti mkubwa sana!
Huwezi msifu messi kabla hujamsifu xavi,iniesta,busqueti n.k hao ndio wanaomfanya messi pale alipo!
Tukirudi kwa drogba ni hivyohivyo kuna kina lampard,barack na viungo wengine hivyo shughuli ya makelele uwanjani ni nzito mno!
Makelele 100%

munachoshindwa kuelewa ni kwamba munaangalia sana display na kusifu ubora wa picha na mwonekano wake pasipo kuangalia hardware zinazofanya ubora na mwonekano huo,
leo hii ukimtoa messi barcelona umpeleke psg kutakuwa na utofauti mkubwa sana!
Huwezi msifu messi kabla hujamsifu xavi,iniesta,busqueti n.k hao ndio wanaomfanya messi pale alipo!
Tukirudi kwa drogba ni hivyohivyo kuna kina lampard,barack na viungo wengine hivyo shughuli ya makelele uwanjani ni nzito mno!
Makelele 100%

Mkuu DullyJr uchambuzi wako ni mzuri sn na kiasifu Fulani kuna ukweli!

Sema kuwalingalisha watu wanaocheza nafasi tofauti ni kazi sn lkn Hawa wawili wamefanya Makubwa sn wakiwa na Chelsea!
 
Last edited by a moderator:
Wengi wanamsikia Drogba tu:
Drogba akiwa Chelsea amewafunga Arsenal magoli 13.

Drogba alikuwa mchezaji aliyekamilika.
aliweza kufunga magoli kwa kichwa; alifunga kwa mguu wa kushoto, alifunga kwa mkuu wa kulia, alifunga kwa penati; pia alitoa pasi za magoli(assists) 71. Cheza mbali na Drogba.
Mkuu DullyJr uchambuzi wako ni mzuri sn na kiasifu Fulani kuna ukweli!

Sema kuwalingalisha watu wanaocheza nafasi tofauti ni kazi sn lkn Hawa wawili wamefanya Makubwa sn wakiwa na Chelsea!
 
Didier Drogba (Chelsea legend) at Galatasaray:

Umri = miaka 36
Mechi = 28.
Magoli = 10.

Similar Discussions

Back
Top Bottom