Jamaa wa Arsenal na timu ya hamis77
Wamepiga U turn hawajulikani wapo wapi.
Acha uongo nani alishobokee Hilo sokwe watu wamewaingiza mkenge Ili mpigwe 115 na mnaenda kupigika kweliKama nilivyosema jana Kumbe Liverpool walikuwa na Caicedo wakati wa mchana na aliwaambia yeye anataka kujiunga na Chelsea tu, so no more bidding war
View attachment 2714977
Kwa hiki kikombe mlichomnywesha Liverpool,nyie sio wakushindana kwenye sajiliNyie si mnataka tuonyeshane makali ya pesa?
Mlimuondoa Roman mkadhani atakuja tajiri mpare.
Matokeo yake timu ikanunuliwa na bank ya Marekani.
Na mchezaji akizingua tunamuuza kwa bank yetu ya Saudia, tunanunua vyuma vingine.
Tunaweka mpira pembeni tunafanya shughuli za kibank (Manunuzi, Mauzo, Mikopo, Riba na Faida)
Liverpool na klopp wao walijioona Wana mvuto Caicedo hawez kuchomoa Waka book na Medical kabisa afanyiwe asubuhi na klopp akapanga aongee na Caicedo kabla ya Press ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila mlituzodoa jana asubuhi hatari. Tuendelee kuburudika kupata updates Caicedo anaweza kuja Liverpool amini ivo
Kwahiyo tukusaidiaje naona kinyeo kinakuwasha sana angalia utakiponzaLiverpool na klopp wao walijioona Wana mvuto Caicedo hawez kuchomoa Waka book na Medical kabisa afanyiwe asubuhi na klopp akapanga aongee na Caicedo kabla ya Press ,
Klopp kwenye press anaongea kwa mbwembwe kabisa Wamekubaliana na Brighton , mwenzie Poch kajibu ,hawez zungumzia mchezaji ambaye sio wake
Sasa Liverpool shughuli yake imeishia hapa
(🟢) NEW:
Liverpool have been trying all day to change Moises Caicedo’s mind but Chelsea now have the opportunity to close the deal.
[@FabrizioRomano]
Huyu dogo mzuri akicheza pemben na Caicedo ,Enzo kiungo yenu Sasa rasmi naona inaenda kuwa ya ushindan ,sio ile ya kina galagaYuko London kwa ajili ya kupima mkojo, kumbe tuko serious la Lavia?
View attachment 2714987
Chelsea ina weusi wengi kule, inawaheshimu, Liverpool akiongozwa na Klopp ni mbaguzi mkubwa, wamemuonea Mane na hata hao akina Salaha na wenzao hawatendewi haki kwa sababu ni weusi.Liverpool na klopp wao walijioona Wana mvuto Caicedo hawez kuchomoa Waka book na Medical kabisa afanyiwe asubuhi na klopp akapanga aongee na Caicedo kabla ya Press ,
Klopp kwenye press anaongea kwa mbwembwe kabisa Wamekubaliana na Brighton , mwenzie Poch kajibu ,hawez zungumzia mchezaji ambaye sio wake
Sasa Liverpool shughuli yake imeishia hapa
(🟢) NEW:
Liverpool have been trying all day to change Moises Caicedo’s mind but Chelsea now have the opportunity to close the deal.
[@FabrizioRomano]
We bwege kweli klopp tangu lini Kawa mbaguzi unajua Kuna mijitu mingine humu inajifanya mijuaji kumbe haijui chochote eti klopp mbaguzi hivi unaakili timamu weweChelsea ina weusi wengi kule, inawaheshimu, Liverpool akiongozwa na Klopp ni mbaguzi mkubwa, wamemuonea Mane na hata hao akina Salaha na wenzao hawatendewi haki kwa sababu ni weusi.
So kilichomvuta sana Caicedo ni Kocha,
Pochettinio kwanza ni kocha mzuri na anayo track record ya kuwadevelop youngster,
pia sio mzungu mbaguzi
tatu Chelsea walikuwa na Caicedo kwa muda mrefu, Chelsea imejenga urafiki wa karibu na Caicedo tangu May 2023, ahadi nzuri nzuri nyingi
Wao lLiverpool wamejitokeza tu from nowhere na kwa miguvu wanataka kumbeba mtu ambaye hata hawajaongea na kukubaliana terms just like that
Hizo ndizo factors zilizo mfanya Caicedo aamue kwenda na Chelsea
😂😂😂Nyie si mna mdomo, acha mshikishwe adabu ,
Klopp bwege kama wewe, inaona mnafanana kwa akiliWe bwege kweli klopp tangu lini Kawa mbaguzi unajua Kuna mijitu mongine humu inajifanya mijuaji kumbe haijui chochote eti klopp mbaguzi hivi unaakili timamu wewe
Pesa nzuri sana€25 kwa chalobah aiseee inter ni wapuuzi sana
We jamaa matusi ya nini saaKwahiyo tukusaidiaje naona kinyeo kinakuwasha sana angalia utakiponza