Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkimpata Caicedo ,Olise ,kwangu mtakuwa mmeimarisha kikos ,

Atleast tunaweza kuwa top six kwa mbali adi nane hapo. Kitakachotukosti ni muunganiko wa wachezaji tu. Ambao itaitaji msimu moja ama miwili ivi kupata chelsea ya 2015 na 2017
 
Wafahamu manguli wa taarifa za ukweli kwenye mtandao wa Twitter
  1. David Ornstein foloowers 2.4m
  2. Fabrizio Romano foloowers 17.8m
Wako wengine lakin hawa ndio wanaongoza na taarifa za waandishi wa habari wengi zinatokea kwa hawa manguli wawili
 
kuna watu awataingiza Tim uwanjan ii pivot ikikamilika
20230811_223332.jpg
 
Double deals
Moja tayari

Taarifa rasmi ni kwamba Chelsea wameafikiana na Soton kumsajili kiungo wao Romeo Lavia kwa pauni mil 50 kama walivyotaka Southampton

BREAKING: I've been told Chelsea have got an agreement with Southampton for Romeo Lavia for £50 million.

Ila kiukweli Chelsea tulikuwa hatumuhitaji Lavia, sijui tajiri wetu miluzi ana shida gani na Liverpool
View attachment 2714842
Binafsi nimependa hii itafanya Enzo acheze no 10 lavia uchezaji wake ni tofauti na Caicedo tutapata taste mbili tofauti pale kati
 
Kama nilivyosema hapo juu sasa Liverpool wanataka kujitoa kwenye bidding war ya Caicedo na wakifanya hivyo kuna uwezekano Chelsea wakaachana na Lavia
Tetesi bado zinaingia hazikomi
Taarifa za hivi punde kutoka SkySport News zinadai kuwa Chelsea wanamalizia mazungumzo na Soton ya Kumsajili kiungo mkabaji Romeo Lavia
Hii itakuwa ni pigo baya sana kwa Liverpool kama hizi taarifa ni za kweli

Chelsea are close to an agreement with Southampton over the signing of midfielder Romeo Lavia but Liverpool remain interested in the Belgian.

Kumbe tatizo liko hivi

Chelsea wamewaomba Liverpool waondoe hiyo bid yao kwa sababu mchezaji ameichagua Chelsea
Brighton wakawaambia Liverpool wasiondoe ili Chelsea warudie kuomba tena
Sasa Chelsea wameamua kulipa mil 50 wanayotaka Soton ili kuwalazimisha Liverpool kuondoa hiyo bid yao ya Mil 111
Wakifanya hivyo Chelsea sio lazima wafikishe mil 111, ile ya mil 100 itatosha kumleta Caicedo darajani. Hukumu sasa iko mikononi mwa Liverpool

Boehly & Eghbali have taken over negotiations. Strategic games.Liverpool have not removed their bid for Caicedo. Chelsea want the bid removed, as Caicedo has made it clear he wants to join Chelsea & then Chelsea won’t have to go above Liverpool’s bid.Brighton have asked Liverpool to keep their bid in, so Chelsea forced to bid again.As a retaliation, Chelsea (similar to Liverpool with Caicedo) have put a £50m overall package bid in for Romeo Lavia to Southampton that has been accepted.Chelsea will happily take the player, they love Lavia, but equally they want to try & force Liverpool to remove their bid for Caicedo & instead move for Lavia.Lots of moving parts.
View attachment 2714846
1691783658450.png

Binafsi nimependa hii itafanya Enzo acheze no 10 lavia uchezaji wake ni tofauti na Caicedo tutapata taste mbili tofauti pale kati
Sidhani kama Chelsea itaendlea na dili la Lavia kama Liverpool wakijitoa dilimla Caiceod ambayo wanataka kufanya hivyo
 
Southampton wameingizwa mkenge kwenye majigambo ya Liverpool na Chelsea
Chelsea hawana haja na Lavia wakishampata Caicedo
Naona Chelsea na Liverpool wameafikiana terms na sasa Liverpool watajitoa kwenye dili la Caicedo na Chelsea watajitoa kwenye dili la Lavia, na ukitaka kujua wanalipizana kisasi Chelsea hawakubid mil 50 kama nilivyosema mwanzoni, wamebid pauni mil 55, juu ya ile Soton walitaka ili tu kuwakomoa Liverpool
 
Atleast tunaweza kuwa top six kwa mbali adi nane hapo. Kitakachotukosti ni muunganiko wa wachezaji tu. Ambao itaitaji msimu moja ama miwili ivi kupata chelsea ya 2015 na 2017
Mkimpata Lavia Caicedo na Enzo tayari yupo ,na mwalimu wenu ni mzuri, Mimi top 4 nawaweka ,kiungo kimebalance

Lavia ni LHS 8 ,Enzo RHS 8 anakuwa juu zaidi, Caicedo 6 chini ya wote wawili ,
 
Southampton wameingizwa mkenge kwenye majigambo ya Liverpool na Chelsea
Chelsea hawana haja na Lavia wakishampata Caicedo
Naona Chelsea na Liverpool wameafikiana terms na sasa Liverpool watajitoa kwenye dili la Caicedo na Chelsea watajitoa kwenye dili la Lavia, na ukitaka kujua wanalipizana kisasi Chelsea hawakubid mil 50 kama nilivyosema mwanzoni, wamebid pauni mil 55, juu ya ile Soton walitaka ili tu kuwakomoa Liverpool
Chelsea nasikia kamatch £50m ya Lavia ,na usiku huu anaenda kumatch ya Caicedo au zaidi ,

Matt Law DT kasema muda huu
 
Hawa jamaa wakiongea shughuli imeisha ,Matt Law DT ndiye Jana alikuwa wa kwanza asubuhi alisema Liverpool wata outbid ofa ya Chelsea kwa caicedo ,watu wakapinga

Chelsea are preparing a new bid for Moises Caicedo. It’s expected to beat or match Liverpool’s £111 million offer. Story with @Matt_Law_DT @mcgrathmike
 
Kwa wasiojua waliokariri Fabrizio na Ornstein,

Huyu JacobSteinberg anatokea The Guardian huyu ni Tier 1 au anaaminika kwa taarifa zake

Chelsea poised to bid again for Moises Caicedo and closing in on £55m deal for Romeo Lavia.

- @JacobSteinberg

Kifupi shughuli ya Liverpool imeishia hapa
 
Umeamua kuchagua side ya ushindi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom