Mkuu mnadivua wapi taarifa nyieKwa ambao mko nyuma ya muda ni kwamba, Chelsea atamchukua Caisedo na Lavia kisha watahamia kwa Olise.
Nimesimama kwenye uhalisia ,halafu Kuna mashabiki wa Liverpool walianza kunitukana na kuja jukwaan kutambaUmeamua kuchagua side ya ushindi
Mkuu mnadivua wapi taarifa nyie
Huyo JacobSteinberg kawa onfire msimu huu tu tena kwenye hili la CaicedoKwa wasiojua waliokariri Fabrizio na Ornstein,
Huyu JacobSteinberg anatokea The Guardian huyu ni Tier 1 au anaaminika kwa taarifa zake
Chelsea poised to bid again for Moises Caicedo and closing in on £55m deal for Romeo Lavia.
- @JacobSteinberg
Kifupi shughuli ya Liverpool imeishia hapa
Updates???
Vp kuhusu OliséViongozi ndio wanajiandaa kwenda kumaliza ishu ya Caisedo
Wamesema hadi kesho, hawana haraka kwa sababu mchezaji amewakataa Liverpool na kazima simu zake zote. Kwenye hoteli nayolala kaajiri walinzi. Katoa maagizo mawasliniano yote yafanyke kupitia agent wakeMasaa kadhaa yajayo Chelsea inaingia rasmi kukamilisha usajili wa Caisedo, kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika.
Olisé??Wamesema hadi kesho, hawana haraka kwa sababu mchezaji amewakataa Liverpool na kazima simu zake zote. Kwenye hoteli nayolala kaajiri walinzi
Mazungumzo yamefika mbali ila nalo ni hadi dili la Caicedo likamilikeOlisé??
Hiyo hotel ya Caisedo naijua sana, watu wa Amerika kusini wanaipenda sana...ndiyo hotel aliofikia Silva wakati anakuja Chelsea. Siri yao kubwa ni aliekuwa anawafanyia visa vya kuja Ulaya wachezaji wengi wa Amerika kusini aliwahi kuwa na share hapo.Wamesema hadi kesho, hawana haraka kwa sababu mchezaji amewakataa Liverpool na kazima simu zake zote. Kwenye hoteli nayolala kaajiri walinzi. Katoa maagizo mawasliniano yote yafanyke kupitia agent wake
Na kampa maelekezo proposal yeyote kutoka timu nyingine haitakubaliwa, ameshaamua Chelsea ni basi
Ili liverpool waweze kusubmit bid nyingine baada ya ile ya Chelsea lazima kwanza wakapatane na mchezaji ambaye kashawakataa. Ngumu sana hapa
wazee wa mikopo awajagi na ela ilonyooka na wenyew sawa na Brighton tu wagumu kufanya nao biashara ila wanapenda vya bureIntermilan wamerudi wanamtaka Chalobah, tuwape kwa mikono miwili
Tunasubiri Here we go ya Fabrizio RomanoLembu nipo nafatilia endelea kutupa mrejesho