Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,739
- 1,585
Caisedo amewakataa Liverpool. Chelsea iamue tu kuzubaa na kuwa wabishi. Ila wakistructure vizuri £110M Caisedo to Chelsea itakuwa Here we go!Issue ya Caisedo bado haijatamatishwa. Mpaka jana jioni Caisedo alikuwa London. Na leo asubuhi timu ya Caisedo imekuwa informed kwamba Chelsea is still working on the deal. Sijajua kama Klopp kashaongea na Caisedo maana hata kwenye press ya Klop sijui kama amezingumza kuhusu kuongea na Caisedo ili tujue kuwa amebadili msimamo anataka sasa kwenda Liverpool.
Kwa hiyo ndani ya masaa 24 tusubiri kuna jambo litatokea. Aidha mchezaji atakubali kujiunga Liverpool au Chelsea itapeleka bid mpya.
Chanzo ni Fabrizio