Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,696
Nani kakupa taarifa wewe mbona muongo sana Chelsea mbona hawakujuiTaarifa tulizopewa kutoka ndani ya uongozi wa Chelsea ni kwamba Chelsea wako tayari kulipa zaidi ya walichotoa Liverpool ili tu kumpata mlengwa wao namba moja tangu mwezi wa tano