Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Chelsea mmesajili Imeh izechukwu [emoji16]
Huyo ugochukwu ni kabila gani? Mbona kama anatokea tanzania ndani ndani huko.#Ugochukwu (19yo)
#Chunkwuemeka (19yo)
Both are 19yo
Both are midfielders
#Chelsea generational talents for the next decade+
Viva Chelsea
View attachment 2703110
Kwenye karatasi squad inaonekana iko vyema sana. Ila tukija kiuhalisia hapo in a long run kwenye ligi kuu kikosi bado sana hiki. Hasa kwa wachezaji ambao wame prove ni injury prone kama Fofana, James, Broja. Hapo ongezea pia bado hatujampata Caicedo kwa hiyo tusijiaminishe deal linaweza shindikana pia. Tunahitaji maingizo chap sana hasa kipa beki wa kati na kiungo walauHapa kulikuwa na wachezaji watatu
Kuna wachezaji wa ndani
- Cherki - attitude yake haikumfurahisha Pochettino kwa hiyo tunamuondoa Chelea hawamtaki tena
- Kudus - Pochetino anampenda zaidi Olise zaidi ya Kudus
- Olise - Poche ni admirer mkubwa sana wa Olise na ameshaongea naye kwenye simu kumshawishi aje, na Olise kakubali.
La muhimu zaidi Pochettino kasema anataka squad ya wachezaji 22, 23 au 24
- Galagher - Pochettino anampenda ila ni 50/50. Anakisiwa kuwa backup nzuri ya Enzo japo yeye anataka auzwe kwa sababu hataki kubaki kama akiba tu ila kasema halazimishi kuuzwa
- Chalobah - Yuko kwenye hatihati ya kuuzwa japo yeye anapambana kweli kweli kubaki na baadhi ya mashabiki wanampigia kifua abaki kwa sababu anaipenda Chelsea na anajitoa kweli kweli
- Maatsen - Poche ameshamkubali na yuko kwenye plans zake ila aidha kama winga wa kulia au LB
- Lewis hall - Poche anampenda anacheza kama LB lakini pia kama CM
- Cucurella - Kama Chalobah na yeye anapambana kweli kweli kubaki ila bado viatu vya Chelsea havimtoshi kabisa. Na yeye anaweza kukosa muda wa kucheza na akawa hana furaha
Mimi naona utawala watampa squad ya wachezaji 25 tu, So bado fagio litapita hapa
Pochettino anakwepa kuwa na wachezaji wasiopata nafasi ya kucheza. Anataka wooote wapate nafasi ya kucheza ili wawe na furaha na wakiwa na furaha hakutakuwa na malalamiko na sumu pale dressing room
Tusipofagia kuna wachezaji kama Sterling na Cucurella wanaweza wasipate muda wa kucheza wakatuharibia mood ya dressing room
So ebu tuangalie squad inayoweza kubaki
Utaonan kuwa kama tutamnunua Olise au Kudus lazima Galagher auzwe au Casadei au Santos au Chunwuemeka watolewe mkopo
Ikiwa tutamsajili beki mmoja mzoefu (target ni March Guehi) kama kocha anavyodai basi Chalobah ndi wa kutolewa kafara kwa kuuzwa.
View attachment 2702573
Kuna uwezekano wa kunyanyua kwapa leo, summer series.Wakati Arsenal, Man U, Barca na Real Madrid zikicheza against each other, the pride of London be like:-View attachment 2702484
Hapa unataka kusemaji mkuuWakati Arsenal, Man U, Barca na Real Madrid zikicheza against each other, the pride of London be like:-View attachment 2702484
Madrid wanapenda sana dirty business, unakumbuka yule kocha wa Spain kwenye world cup 2018 Russia...kumbe Lupe alishasain mkataba kisiri na Real Madrid. Alipogundulika wakamtimua, Mbape asiposhauriwa vizuri anaweza kumaliza mpira wake kwa majuto.Nahisi Kyilian Mbape ameihujumu PSG
Kunasadikika kuna makubaliano ya siri na Real Madrid kwamba Mbape atahamia Real Madrid bure msimu wa kiangazi wa 2024
Kwa hiyo kuna uwezekano Mbape akakaa benchi mwaka mzima pale PSG
Huu utakuwa uhuni wa karne haijawahi kutokea kwenye ulimwengu wa michezo
Hii ni baada ya Mbape kukataa dau la mwaka mmoja la Uarabuni kwa dili la Dola bilioni moja
Yaani uhamishoi wa dola mil 300 na mshahara wa mwaka mmoja wa dola millioni 700
View attachment 2702896
Hao kuku wenye kideri ni wa kuonewa huruma tu, maana ni wa kupigwa left right and centre.The blues kwa timu yenu ya vitoto si mtapigwa 10 na majogoo wenye njaa?
Majina ya Kinigeria hayo mbona lipo wazi?Huyo ugochukwu ni kabila gani? Mbona kama anatokea tanzania ndani ndani huko.
Huyu disaster anakaba mpaka watu wanakufa uwanjani,Confirmed: Chelsea imemsajili captain wa Monaco Axel Disasi ambaye anacheza nafasi ya central Defender kama mbadala wa Wesley Fofana
Wapi Papaa Gx we jamaa umetusumbua Sana jukwaa letu la man u na zile meme zako za nyumbu[emoji16][emoji16] Mara Pogba akijiandaa kupiga mpira.Wachezaji wapo wengi tu kwenye hiyo nafasi tena zaidi yake, skauti ya Chelsea ni vilaza sana.
Dk.19 Goal Thiago SilvaChelsea tuko live 0-0 Vs FulhamView attachment 2703287
Alafu ni defender anayejua kudribble kweli kweli Kumbe wanajua kusajili kwa harakaHuyu disaster anakaba mpaka watu wanakufa uwanjani,
Dah ila bodi yetu imejua kutusuprize. . .
Unatumia app gani kuchekiDk.19 Goal Thiago Silva
Chunkwuemeka kashaiva huyo kama unamfuatilia kwenye hii preseason, huyo mwenzake labda tu atolwe mkpo ila naye namuona anaweza mikiki ya EPL tayariIli tufanikiwe tutahitaji muda mrefu kwa hawa madogo personally naona uongozi wa chelseafc hawajamtendea haki kabisa pochettino