Green Koryo
JF-Expert Member
- Jul 6, 2022
- 616
- 1,143
Hii mechi naifuatilia live Supersport, naona dalili kama kocha kuna kitu anataka kuweka kwa wachezaji. Huyu Burstow aliesiama kama mshambuliaji mbele ya Nkunku namwona kama anaweza kuwa msgambuliaji mzuri baadae.
Naomba link mkuu