Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mauricio Pochettino:

"Pamoja na Levi [Colwill] tulikuwa na mazungumzo mazuri pia, hii ni ya faragha lakini nadhani ni muhimu, wanahitaji kutujua.

Wanahitaji kutujua, kujua tunachofikiria na wanahitaji kujua kama wana uwezekano wa kuanza. [katika] timu ya kwanza."

Mauricio Pochettino:

"With Levi [Colwill] also, we had a nice chat, this is private but I think it's important, they need to know us. They need to know us, know what we think and need to know if they have the possibility to begin [in] the starting XI."
 
Iwapo Chelsea hawataamua haraka kumsajili Moises Caicedo na kama Liverpool wataamua kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho, ninahofia Caicedo anaweza kubadilisha mawazo yake na kuchagua kwenda Liverpool. Mwisho wa maelezo. Itakuwa pigo kubwa kwetu. Lavia ni DM mzuri lakini Caicedo tayari imeiva ili kuendana na mfumo wetu.
1689734937145.png
 
Iwapo Chelsea hawataamua haraka kumsajili Moises Caicedo na kama Liverpool wataamua kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho, ninahofia Caicedo anaweza kubadilisha mawazo yake na kuchagua kwenda Liverpool. Mwisho wa maelezo. Itakuwa pigo kubwa kwetu. Lavia ni DM mzuri lakini Caicedo tayari imeiva ili kuendana na mfumo wetu.
View attachment 2692581
Kosa kubwa tuliofanya ni kumkosa Ugarte kwa bei ile tusingepata shida kwa Caicedo pamoja tulikuwa tunawataka wote
 
Magwaya ashindwe kutakiwa na Arsenal atakiwe na Chelsea? Au mmeanza kujisahaulisha wachezaji wanaotoka timu kubwa kwenda Arsenal ni wale waliokosa option katika carrier yao?
NEW: Manchester United's Harry Maguire is getting closer to a move to Chelsea.

[@caughtoffside]
 
Tukiongea sisi tunaonekana tunanongwa

Gabby Agbonlahor gwiji wa EPL kasema kwa kikosi hiki nafasi ya 10 inawahusu

“Chelsea really need to start signing!”

“If that squad of players went out to play this season they would finish tenth.”

Gabby Agbonlahor believes Pochettino MUST urgently repair the #CFC squad.
 
Namba za Pre season

1. Kepa Arrizabalaga
5. Enzo Fernandez
6. Thiago Silva
14. Trevoh Chalobah
15. Mykhailo Mudryk
17. Raheem Sterling
21. Ben Chilwell
23. Conor Gallagher
30. Carney Chukwuemeka
31. Noni Madueke
32. Marc Cucurella
34. Malo Gusto
35. Bashir Humphreys
36. Gabriel Slonina
37. Levi Colwill
38. Ian Maatsen
39. Andrey Santos
40. Cesare Casadei
41. Angelo Gabriel
42. Diego Moreira
43. Nicolas Jackson
45. Christopher Nkunku
46. Alfie Gilchrist
47. Lucas Bergstrom
48. Mason Burstow
50. Eddie Beach
60. Jamie Cumming
67. Lewis Hall
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom