Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Toa Collwill hapo , tuna Badiashile yule kijana ni makini na anatosha sijui kwanini tunang'ang'ania huyu pimbi kwenye dharau anayeitwa collwill
Colwill anaipenda Chelsea
Alichofanya ni kuweka msisitizo ili apewe nafasi ya kuonyesha uwezo wake
Chelsea ina tabia mbaya ya kuwa overlook academy wenye uwezo
Unaona mchezaji kama Ian Maatsen anaweza akaachwa akaondoka wakati ni LB na LWB mzuri sana
Naye asipotingisha kiberiti tunaweza tukamkosa
Colwill haitaji apewe muda wote wa kucheza anataka aahidiwe tu kuwa atapewa naye sehemu yake
Angekuwa mkorofi wala asingesema hivyo. Mkataba wake uko mwishoni angenyamaza tu na kutoa notisi kuwa hatarenew mkataba basi. Tumpe nafasi na tutege kwenye mkataba wa muda mrefu ili asipofit kwenye timu tumuuze kwa bei nzuri kwa sababu kwa lolote litakalotokea Chelsea, Colwill ni beki mzuri na hataondoka Chelsea kwa pesa ndogo.
1689662211410.png
 
Chelsea haieleweki inataka nini
Mbona wako clear, akina Boehly ndoto yao ni kuijenga timu zote upya
Kuwa na wachezaji kinda wengi wenye talents ni fursa nzuri ya kuwa na uhakika wa kuwapata wachezaji wa fisrt team huko mbeleni bila kutumioa gharama kubwa

Mfano
Tuna wachezaji wazuri wa firts team ila wengine wanakuwa wazee na wengine wanaweza kuhama kama alivyofanya Mount na wengine wanaweza wakaflop
Lakini pia tusipoweza kuwatumia tutawauza kwa faida
Hivyo ndivyo business inavyofanya kazi
90+% ya wote waliosajiliwa wako vizuri na nadhani bado business inaendelea
Uzuri mmoja ununuzi wa hao U21 haingizwi kwenye FFP
 
Team yetu ina mapungufu makubwa kwenye eneo la midfielders (dimba la kati) tumeuza wachezaji wengi sana kwenye hili eneo tumebakiwa na Enzo pekee ambaye yeye mwenyewe ni mzuri sana akicheza juu huyu Conor Gallagher sio Mzuri kwenye eneo la katikati sijaona juhudi zozote na uongozi kusajili eneo hili kwa haraka zaidi tunahusishwa na Caicedo pekee wakati kuihalisia tunatakiwa tusajili wachezaji wawili kwenye eneo hili lakini uongozi wapo kimya sana.Tuna kocha mpya ambaye anahitaji muda wakujua wachezaji wetu pamoja na ingizo jipya la wachezaji but mpaka sasa tunaenda preseason bado hatujatatua changamoto zetu na usajili unaenda polepole sana
 
Wakina Todd Boehly bado wana machungu ya zile £600M walizotumia January bila plan hazijalipa now wapo makini kwenye usajiri wanaogopa kupigwa hela tena
 
Kama ni hivyo si bora wangembakisha kovacic na wakaongeza middle mmoja
 
Brighton want Rice money for Caicedo! Just pay the asking price Chelsea [emoji1787] [emoji1787]
 
Medical sources inside #Chelsea state that Wesley Fofana's injury is 'very serious'. He could miss multiple months of the season, and possibly the entire campaign.

[via @C345Sam]
 
Ndugu zangu mwakani tukiwa top 8 basi haya yatakua ni mafanikio makubwa sana
 
Fofana nje miezi 9 ,hii timu inatabirika Sana

Hapo bado James ,chillwell na nkuku Hawa ni ma injury prone

I see regelation battle again
 
Aumie tu Collwill yupo na Badiashile hata yule Chalobah yupo vzr.. after raw hatupo UCL so sina was was
 
Stamford Bridge
 
Attachments

  • 3148782169523085089.jpg.png
    3148782169523085089.jpg.png
    495.1 KB · Views: 22
  • 3148782169623763965.jpg.png
    3148782169623763965.jpg.png
    487.9 KB · Views: 24
  • 3148782169531468416.jpg.png
    3148782169531468416.jpg.png
    431.3 KB · Views: 27
Team yetu ina mapungufu makubwa kwenye eneo la midfielders (dimba la kati) tumeuza wachezaji wengi sana kwenye hili eneo tumebakiwa na Enzo pekee ambaye yeye mwenyewe ni mzuri sana akicheza juu huyu Conor Gallagher sio Mzuri kwenye eneo la katikati sijaona juhudi zozote na uongozi kusajili eneo hili kwa haraka zaidi tunahusishwa na Caicedo pekee wakati kuihalisia tunatakiwa tusajili wachezaji wawili kwenye eneo hili lakini uongozi wapo kimya sana.Tuna kocha mpya ambaye anahitaji muda wakujua wachezaji wetu pamoja na ingizo jipya la wachezaji but mpaka sasa tunaenda preseason bado hatujatatua changamoto zetu na usajili unaenda polepole sana
Kote huko tutaweka vitu usiwe na haraka msimu wa usajili bado sana
 
Miezi mingi hatutakuwa na Fofana, majeruhi aliyopata ni serious. Hawa ndio wachezaji wasiotakiwa kabisa Chelsea.
Chelsea sasa itabidi waingie sokoni kumtafuta CB wa kulia wa kiwango cha juu
Medical sources inside Chelsea state that Fofana’s injury is “very serious.” We’re looking at multiple months out and possibly the entire season.
1689696509356.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom